Huo sio muongozo, hiyo ni analysis tu na maoni yangu si lazima ayafanyie kaziWatu wanamind vitu vidogo. Insider kaandika stori inamhusu yeye halafu mtu anaibuka kutoa mwongozo.
Insider piga kazi vile unajua wewe, hapa hakuna maksi zinazotolewa. Tunasubiri Ijumaa kazi iendelee.
Mwenye kuona mapungufu aandike yake au atoe remix
Sema we ni team Iryn utaeleweka, ila kijana wetu hajatudhihirisha wazi kuwa mrembo ni nani miongoni mwa hao warembo.Sio kiviile!! Iryn ndio masta wa story ! Wee unaona akikosekana inanoga???
NakaziaJamaa anatuangusha kidogo upande wa kuonesha uanaume kwenye vitu vinavyohitaji hulka ya kiume
Tatizo watu huwaga hawapendi kuheshimu mawazo au maoni ya watu wengine, hawa ni wale watu wasiopenda ukweli sehemu inapohitajila ukweli, kwasababu tu wao wanaburudika....upo sahihi mkuu,, lakini sikuwa na maana mbaya kama unavodhani isome komenti vizuri utanielewa,sikuwahi kwenda kinyume nae,jaribu kufuatilia kote nilipopita humu....
Remark
Iryn ana wateja kibao, huyo msela ni mmoja waoAfu msela mbona imekua ghafla sana katokea wapi kwani?
Sipati picha boss Iryne akimuona Prisca itakkuwajeYeah kaharibu sana!!
Prisca akiendekezwa lazima amvuruge kisawasawa atatakiwa kuwekewa mipaka ASAP!
NO RATIBA YAKE INAMBANA KUANDIKA KILA SIKU NA YEYE BINADAMU ANAMAJUKUMU, KWA HIYO KUANDIKA KILA WAKATI KTK SIKU ZOTE 7 ZA WIKI AANDIKE MFULULIZO STORY NDEFU KWENYE EPISODE MOJA INAKUWA SIO RAHISI HATA INGALIKUWA NIWEWE.Story nzuri sema uduanzi wake upo kwenye kusubiri hadi ijumaa, jumamosi na jumapili, kisa kuna watu wasiozidi 5 kati ya zaidi ya 100k kutoa negative comments
Irene ananikosha msimamo wake fulani hivi ...sema wivu wa mama J najiona Mimi kabisa haha 😁😁!!Sema we ni team Iryn utaeleweka, ila kijana wetu hajatudhihirisha wazi kuwa mrembo ni nani miongoni mwa hao warembo.
Iryn sijamkubali kabisa, heri hata mama kijacho ana kaurembo kalikomfanya kijana wetu akafanya yake 😍
Hiki chuma kama una namba yake bloangu nisaidie nimuelekeze jambo,kuna shida kwao,babake kanipigia simuNa kinachotia hasira, ni Iryn kuzidi kuonekana mzuri, tangu jamaa (anyonimous) aanze kupiga nyama kwa nyama kwa Iryn[emoji23]View attachment 2753885
Lol kumbe!! Na alisema anampango wa kuirudia kazi yake hio!!Iryn ana wateja kibao, huyo msela ni mmoja wao
Ataona wivu na kuumia kimoyo moyo ila badae kama kawaida atamuuliza insider!Sipati picha boss Iryne akimuona Prisca itakkuwaje
Lakini insider kamuelezea Lyin kisu kawazidi wote, kasema kwa maisha yake hajawahi kuona mwanamke mzuri na mrembo kama yeyeAcha uongo wako weye, kuna warembo wengi sana hapa so Iryn hawezi kuwa kabeba hii story, kumbuka kuna mbotswana naye ni kisu hataree, harafu hana boyfriend.
Kazingua big time, anaongeza kosa na timu imefungwa 3-0Ushazingua tayari. Unaenda na mwanamke kwenye issue za kikazi?
kmmk, kweli hapo ukitumia kinga CAG anakupiga hati chafuNa kinachotia hasira, ni Iryn kuzidi kuonekana mzuri, tangu jamaa (anyonimous) aanze kupiga nyama kwa nyama kwa Iryn[emoji23]View attachment 2753885
Kwa sasa hivi hawezi kumuuliza tena, Lyin amejiweka mbali na insider ameamua kumuacha na mambo yakeAtaona wivu na kuumia kimoyo moyo ila badae kama kawaida atamuuliza insider!
Bro hichi si kikao kwamba kina agenda utoe maoni… Watu kama nyinyi ndio mlifanya jamaa akataka kuacha kuendelea kusimulia kwa sababu ya kenge kama nyinyi kuingilia kwenye msafara wa mamba…Tatizo watu huwaga hawapendi kuheshimu mawazo au maoni ya watu wengine, hawa ni wale watu wasiopenda ukweli sehemu inapohitajila ukweli, kwasababu tu wao wanaburudika....
Kingine , Naona watu wengi wana tatizo la afya ya akili bila ya wao kujijua, hivi kweli mawazo au maoni ya mtu ni ya kutaka kupingana nayo kama ni argument au command??
Umetoa maoni, unatukanwa[emoji23]
Aisee tusubiri episode ijayo tuone itakuwajeAtaona wivu na kuumia kimoyo moyo ila badae kama kawaida atamuuliza insider!