dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ndio nimerejea wacha nimalize Kwanza story Kisha nitakucheki nimishia sehemu ya 46 hope ulitembeaa kwa Kasi snaHutaki kuni piemu[emoji848]
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]kmmk, kweli hapo ukitumia kinga CAG anakupiga hati chafu
Hapa kwa Kweli jamaa kazingua sana eti anafanya hvyo ili iry hasijione so [emoji23]special ..Ila insider wew Ni mbuziIla mwana sometimes unazingua ujue Iryn anakupigia simu x2 na hupokei,,? Kama alitaka urudi ukamnyandue je,, yani hapo ndio unatukosea wadau angalia tutaanza kukuvua vyeo sasa,,
Watu wengi wakogo hvyo tuwe Makin kwenye kushauri watu mausianoDamn..! Hivi kumbe Muajemi ni kiazi kiasi cha kumchafulia Insiderman.... Mamtu bhn, yaani yanashauriwa halafu kumbe ndio yanachukuki point hapohapo au jamaa liliingiwa na wivu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umempa makavu kijanaKatika watu siwapendi kwenye hii story ni Mama J na Prisca kwa sababu mama J alikusababisha ukaanza kumcheat ugomvi kidogo tu anakimbilia nyumbani yaani kaniudhi pia Prisca kaniudhi tu kwa sababu king'ang'anizi ona sasa kajibebesha mimba yaani hapo mawazo yake akibeba mimba akizaa nae atakuwa sawa na Mama J,
Katika watu uliowakosea sana ni Iryn anavyokuchukulia tofauti na unavyomchukulia yaani yeye amekufanya mtu special sana kwake lakini wewe unamuona kawaida tu ni hizo hela zinakufanya uendelee kubakia nae, tamaa ya pesa inakufanya mpaka unajitahidi kumuunganisha na Muajemi ni afadhali ungeongea nae tu kishkaji bwana Muajemi anasema anakupenda sana anataka kukuoa lakini ana wake 2 halafu uone reaction yake lakini wewe unawasiliana na Muajemi kwa siri halafu unaendelea kumsukuma Iryn huko pia kwa siri siri huu ni urafiki wa aina gani
Na Kweli hapa Ni dodoma na nyumba hyo ya contemporary naifahamu Kama Nina ofc mitaa hyo hyo hongera sna mkuu
Atakuja kulogwa hapo Hadi akili zimruke namshauri akae.mbali na mchepuko wa mzee pama ataishia papayaMama Pama anadukuduku na kitu rohoni sio bure!
Link zipo chini kwa kila episode, kuanzia episode ya 25 ndo sijaweka. Au hazionekani
Nasumbuka kupata episode ya 27 na kuendelea maana hakuna link yoyote. Napataje muendelezo wa story kuanzia episode ya 27 ?? Msaada hapo wadau wa nyuziLink zipo chini kwa kila episode, kuanzia episode ya 25 ndo sijaweka. Au hazionekani?
Hapo mwamba nadhani wewe umeshindwa kuiunga story vizuri kwani maelezo yalijitoshelezanaona kisa kimeshindwa kuweka wazi kama mfaransa ndo aina ya gari alilokuwa amekubaliana na Iryn. Pia hakuweza kubainisha kwamba ni kwa nini Iryn aliishi kwenye apartment na sio home kwao ukizingatia ukwasi wa marehemu mama yake aliokuwepo nao
Yeah acha tusubirie tuone!Aisee tusubiri episode ijayo tuone itakuwaje
"Siyo anayofanya"kumbuka ishakuwa ni past...jamaa anasimulia story ya maisha aliyopitia...bandugu.Hii ndio mistake nyingine unafanya mwanamke kukutikisa kidogo ushatikisika