Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Wale walinzi wa airport miyeyusho sana af wana njaa kishenz mi walinizungusha sana maboya wale sema walichokosea hawakuiwekea gari kufuli nikaenda nikawasha then nikaondoka na mtoto mkali kama Iryn
 
Mpumbavu ushajulikana kua ni wewe....and the case is closed

unabishana na mawazo ya mtu wewe papai nini, si ungevunga kama muanzisha uzi alivyovunga au wewe ni Mama J??

UNAKATWA NA INSIDER
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetisha sana INSIDER MAN [emoji109]ngoja wenye kismet kama chako wakuje [emoji125][emoji125]
 
Wakutumie na picha zao sio.
 
Mpumbavu ushajulikana kua ni wewe....and the case is closed

unabishana na mawazo ya mtu wewe papai nini, si ungevunga kama muanzisha uzi alivyovunga au wewe ni Mama J??

UNAKATWA NA INSIDER
Mawazo au ni ujuaji.. Jifunze kujua sehemu ya kuweka mawazo na sehemu za kutuliza pumbu kenge wewe…
Halafu mwanaume unajiitaje kipenseli..
 
Yaani Iryn aliamua kukutumia kumuhamisha kwenye apartment nyingine ili amlete msela wake! Iryn nyokolo.

Yaani huyu msela kafanya nikose mood ya kuendelea kufurahia stori kabisa. Yaan kuna kitu kimenikaba hapa kooni.
Msela hana kosa ni mbuzi wa kafara hajui hata kinacho endelea irene ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…