Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kind of discrimination .our disable sisters looks like aren't invited . Ama nakosea ndugu zangu .
 
Tuliosoma story za sidney sheldom tunajua insider anachokifanya lakn kama sio mpenz wa kusoma huwez jua hata kidgo mbinu za muandishi hii story niyakufirika 100% kama hutaki na unabisha sawa hakuna shida ni mtizamo wako tuh. Muandishi anakumbua kila kitu kilichotokea mwez may miaka m3 iliyopita sawa[emoji23][emoji1373] hata phil knight wanamsifu kwa kukumbuka matukio meng lakn ukisoma kitabu chake cha shoe dog ni mwengi huadithia in general.. ila kwasababu watu wengi sio wasomi bas wamaweza kufiri kdg na kusema n story ya kwel but for me ni story ya kufikirika 100%
 
Huyu insider man kwa mtazamo wangu gundu lilianzia alipotaka kumkaza sumaiya wanawake wa kitatanga ni majanga sana ushirikina mwingi hatari hawafai hata gidogo
Mwanamke mwenye nuksi hata akiona uchi wake ni kama umemukwichikwichi! Bora umalizie! Unachokuwa umeepuka ni magonjwa ya zinaa tu! Kuona utupu wa 'ke' mkiwa faragha ni tayari!
 
Swahiba INSIDER MAN kabla hatujaenda mbali naomba kujua kama huyo sijui Irene alikupa mbunye, kama hadi mwisho hukuichakata sema mapema mi niishie hapahapa bana, maana mi huwa ni mvivu sana wa kufuatilia story ambayo haina mambo ya muhimu.
Kwa hiyo kukatana ndio mambo ya muhimu kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…