Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Kuna majukumu mengine pia kakaStory nzuri sema uduanzi wake upo kwenye kusubiri hadi ijumaa, jumamosi na jumapili, kisa kuna watu wasiozidi 5 kati ya zaidi ya 100k kutoa negative comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna majukumu mengine pia kakaStory nzuri sema uduanzi wake upo kwenye kusubiri hadi ijumaa, jumamosi na jumapili, kisa kuna watu wasiozidi 5 kati ya zaidi ya 100k kutoa negative comments
Priska kakuboa kivipi wakati hata mama J mwenyewe hajafunga ndoa na Insider?Priska kaniboa kuzaaa na mume wa mtu kizembe sana na kuonesha kafa kaozaa na eti yuko tayari kumzalia tena😒!
Tunaounga mkono hii hoja tunyooshe mkono 😁Swahiba INSIDER MAN kabla hatujaenda mbali naomba kujua kama huyo sijui Irene alikupa mbunye, kama hadi mwisho hukuichakata sema mapema mi niishie hapahapa bana, maana mi huwa ni mvivu sana wa kufuatilia story ambayo haina mambo ya muhimu.
Kind of discrimination .our disable sisters looks like aren't invited . Ama nakosea ndugu zangu .OPPORTUNITY[emoji95]
URGENT WE ARE HIRING,
POSITION: Operation Manager (1)
LOCATION: Dar es Salaam
INDUSTRY: Hospitality
EXPERIENCE: Atleast 2yrs
QUALIFICATIONS: Holder of a Bachelor/Diploma of Business Administration.
AGE : Not more than 27 Years
REQUIREMENTS
1. Excellent Communication skills and proven customer service experience.
2. Proficiency in basic computer applications
3. A female with Good Physical Appearance.
4. Leadership & Decision making skills.
Email your CV only, businessinsiderco@gmail.com
DEADLINE: 23/09/2023
Asante sana mama Jr.Kaparo Ravenous shikamkono01 Antonio de Guzman hivi mshapita pande hiii?? Mkuje Insider na Iryn Mambo hayaeleweki hukuuuu!!
SAS insider man kapata gundu wapi mtu katoboa maisha unasema ana gundu HV unaelewa gundu wewHuyu insider man kwa mtazamo wangu gundu lilianzia alipotaka kumkaza sumaiya wanawake wa kitatanga ni majanga sana ushirikina mwingi hatari hawafai hata gidogo
mkuu naomba link ya story ya BMX6 angalau iwe nusu kwa ukali wa hii ya INSIDER MANKuna wakati nafananisha na kutofautisha aina na mtindo wa uandishi Kati ya insider na BMX 6 naona kama hawa jamaa ni ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]
No 3 imenikosesha kazi 😒😒Dada zangu Changamkieni hiyo Fursa haraka ila zingatieni No.3
Prisca Ana utoto sana ngoja akue kueIrene ananikosha msimamo wake fulani hivi ...sema wivu wa mama J najiona Mimi kabisa haha 😁😁!!
Priska kaniboa kuzaaa na mume wa mtu kizembe sana na kuonesha kafa kaozaa na eti yuko tayari kumzalia tena😒!
Unatafuta wa kumreplace iryn au?Dada zangu Changamkieni hiyo Fursa haraka ila zingatieni No.3
Mwanamke mwenye nuksi hata akiona uchi wake ni kama umemukwichikwichi! Bora umalizie! Unachokuwa umeepuka ni magonjwa ya zinaa tu! Kuona utupu wa 'ke' mkiwa faragha ni tayari!Huyu insider man kwa mtazamo wangu gundu lilianzia alipotaka kumkaza sumaiya wanawake wa kitatanga ni majanga sana ushirikina mwingi hatari hawafai hata gidogo
[emoji3]Ishia hapahapa
mkuu naomba link ya story ya BMX6 angalau iwe nusu kwa ukali wa hii ya INSIDER MAN
Kwa hiyo kukatana ndio mambo ya muhimu kwako?Swahiba INSIDER MAN kabla hatujaenda mbali naomba kujua kama huyo sijui Irene alikupa mbunye, kama hadi mwisho hukuichakata sema mapema mi niishie hapahapa bana, maana mi huwa ni mvivu sana wa kufuatilia story ambayo haina mambo ya muhimu.