granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Nenda kwa mwamposa kaimbe mapambio, unafanya nn hapa kwenye jukwaa ambalo 99% ya mada zinahusu kunyanduana, hey holy monkKwa hizi akili ndo mnategemea katiba mpya [emoji706]
Sure mkuu jamaa anazingua kinoma, kama hataki hivi story iishe.Huyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
Sio kila thread lazima usome, zingine ziache zipite tu kushoto zina watu wake.tulimuomba alete, si kiherehere chake, hata hvo bundle tunalipa kodi.
NdiyoUlikvwepo wakati anakabidhiwa?
Kiujumla story ni nzuri sana tu inaburudisha.Tuliosoma story za sidney sheldom tunajua insider anachokifanya lakn kama sio mpenz wa kusoma huwez jua hata kidgo mbinu za muandishi hii story niyakufirika 100% kama hutaki na unabisha sawa hakuna shida ni mtizamo wako tuh. Muandishi anakumbua kila kitu kilichotokea mwez may miaka m3 iliyopita sawa[emoji23][emoji1373] hata phil knight wanamsifu kwa kukumbuka matukio meng lakn ukisoma kitabu chake cha shoe dog ni mwengi huadithia in general.. ila kwasababu watu wengi sio wasomi bas wamaweza kufiri kdg na kusema n story ya kwel but for me ni story ya kufikirika 100%
🤣🤣 mzee umenikumbusha mbali sana. mzee wangu alikuwa ananiambia nikila vichwa ntakuwa na akili, so akifa bata au kuku au samaki changu kichwa dah.Naamini watakua wana andika kwy diary na si vinginevyo hata kama walilishwa sana vichwa vya samaki utotoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe, story utakuwa unaijua basi 100% unafanya nn hapa sasa?Ndiyo
Sijuikumbe, story utakuwa unaijua basi 100% unafanya nn hapa sasa?
Mkuu unataka kunipangia cha kufanya?? Simu/computer ni yako? Bundle umeninunulia wewe, we ndo ulinipeleka shule nikajua kusoma na kuandika, ako na shida na mm?Sio kila thread lazima usome, zingine ziache zipite tu kushoto zina watu wake.
Kiujumla story ni nzuri sana tu inaburudisha.
Sema nawasifu baadhi ya wasimuliaji wa hapa JF akiwemo huyu kwa uwezo wao wa kumbukumbu hasa - majina ya siku,
- muda uliotumika toka sehemu moja kwenda nyingine.
- Kufika sehemu au kupokea simu saa flani na dkk flani.
- Muda uliotumika kumsubiri mtu na muda wa kuondoka maeneo tofauti tofauti na siku tofauti tofauti - Kiasi cha fedha ndogo ndogo anazotoa au kupokea.
- Maongezi ya kwy simu neno kwa neno,
- matukio ya kila siku toka jtatu hadi jpili kwa wiki nzima
Naamini watakua wana andika kwy diary na si vinginevyo hata kama walilishwa sana vichwa vya samaki utotoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani leo jamaa sijui yuko wapi aiseee daaahhhhhhKila nikichungamia holaa[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji124][emoji124]
STORY SIO YAKUISHA LEO MKUU BADOOOya INSIDER MAN tunakusubiri huku, afu hakikisha weekend hii unamaliza story yako ili na BM X6 amalizie yake maana mnategeana nimeshaona.
KAMA NI MYTHS MBONA MNAIFUATILIA SI MUACHANE NAYO TUU, NYUZI ZIKO KIBAO SIO LAZINA HUUYaani sasa wanavyokumaa na kuiita TRUE STORY. Daah nashindwa kuelewa labda muandishi alizaliwa na memory card ila kwa ubongo wa mwanadamu hakuna anayekumbuka kila kitu kwa miez 3 tu nyuma ila mwamba yupo full detail ya miaka m3 nyuma.. story ni nzuri sana ila ni myth hakuna ukwel wwte tuendelee tu na burudani [emoji23]