Unashangaa au?2014!!!?
KAMA NI MYTHS MBONA MNAIFUATILIA SI MUACHANE NAYO TUU, NYUZI ZIKO KIBAO SIO LAZINA HUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba anakumbuka conversion had mavazi waliyovaa atengwe😂Yaani sasa wanavyokumaa na kuiita TRUE STORY. Daah nashindwa kuelewa labda muandishi alizaliwa na memory card ila kwa ubongo wa mwanadamu hakuna anayekumbuka kila kitu kwa miez 3 tu nyuma ila mwamba yupo full detail ya miaka m3 nyuma.. story ni nzuri sana ila ni myth hakuna ukwel wwte tuendelee tu na burudani [emoji23]
usijaliSawa mkuuu ilaa ukiiona kabla yangu please do the needful
Naona jamaa INSIDER MAN hayupo online toka jana tarehe 21HAKUNA STORY LEO.
KWA HIVYO LALENI
Hii namba tatu 3 imekua bolded kabsa.. binti inabidi awe kama Irene kabsa eehOPPORTUNITY[emoji95]
URGENT WE ARE HIRING,
POSITION: Operation Manager (1)
LOCATION: Dar es Salaam
INDUSTRY: Hospitality
EXPERIENCE: Atleast 2yrs
QUALIFICATIONS: Holder of a Bachelor/Diploma of Business Administration.
AGE : Not more than 27 Years
REQUIREMENTS
1. Excellent Communication skills and proven customer service experience.
2. Proficiency in basic computer applications
3. A female with Good Physical Appearance.
4. Leadership & Decision making skills.
Email your CV only, businessinsiderco@gmail.com
DEADLINE: 23/09/2023
Kuna mda hao mademu inabidi waliwe na mabosi ndo dunia hiiDaah! Kweli life is not fair sometimes dada yangu Mwajuma Ndalandefu hatoboi hapa kisa tu hana muonekano poa.
Yaani sasa wanavyokumaa na kuiita TRUE STORY. Daah nashindwa kuelewa labda muandishi alizaliwa na memory card ila kwa ubongo wa mwanadamu hakuna anayekumbuka kila kitu kwa miez 3 tu nyuma ila mwamba yupo full detail ya miaka m3 nyuma.. story ni nzuri sana ila ni myth hakuna ukwel wwte tuendelee tu na burudani [emoji23]
Bila shaka nyinyi ndo wale wenye F za namba na IQ zenu ndogo sana. Hivi unaanzaje kusahau matukio muhimu tena ya mwakajana? Kwa ulimwengu huu wa sasa ambao tuna simu mtu anapiga picha.
Hapo ukinambia baadhi ya vitu anaongezea nitaungana mkono na wewe kama mazungumzo mengi waandishi wanaongezea ili kufanya story ivutie.
Suala la muda kwa mtu wa Uber ni kawaida maana anajua muda wa kutoka posta mpaka Airport ni kawaida sana kwa mtu anayeishi Dar na mwenye gari.
Hata mimi kuna matukio kibao nayakumbuka hapa hasa ya utotoni, kama unayasahau matukio hata ya miezi 3 kurudi nyuma wewe kichwa chako kinahitaji kusafishwa ubongo hakina utofauti na kusema unafugia nywele.
Kwani leo sio ijumaa?
Mbona hakuna episode yoyote jamani?[emoji23]Naam Malkia Kan hujakosea
Mbona hakuna episode yoyote jamani?