Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Naacha jf๐๐, Nina I'd moko ty๐คฃUna acha jf au unaacha kutumia hii Id๐๐
Dah nyuki wa mashineni ๐, mi wa 70 ujue๐๐๐. Hee kumbe wa 90๐คฃ๐Amkiaa wewe Oyaa ndo mdudu gani?๐คจ๐
Acha uwongoNaacha jf๐๐, Nina I'd moko ty๐คฃ
Sijasema mbele ya mama J..namaanisha kuna uwepo wa mama J sio lazima awe mbele yako...mfano hapo mlipokua sijui site...si ulisogea pembeni ukaongea nae na I love u juu?.. any way tuendelee..
Dogo na mwenzio umechangia kijiwe chetu kusambalatika ๐๐ฌ๐ฌDah nyuki wa mashineni ๐, mi wa 70 ujue๐๐๐. Hee kumbe wa 90๐คฃ๐
Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela
Ume Anza uchawi๐คฃ๐๐Dogo na mwenzio umechangia kijiwe chetu kusambalatika ๐๐ฌ๐ฌ
Ni sawa Kama hutaki kuamini, ila hio ndo Hali halisi๐Acha uwongo
Na mimi ule uzi wako nikaujambia dadekii week ulifika๐๐๐๐Ume Anza uchawi๐คฃ๐๐
Kama ili kupa unafuu, Basi fresh.Na mimi ule uzi wako nikaujambia dadekii week ulifika๐๐๐๐
Kaka ukiachia stori nipo dar sina raman tunafanyaje mkuu nipate buku mbili tatu za maji i mean deal
[emoji38][emoji38][emoji38]Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela