Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sijasema mbele ya mama J..namaanisha kuna uwepo wa mama J sio lazima awe mbele yako...mfano hapo mlipokua sijui site...si ulisogea pembeni ukaongea nae na I love u juu?.. any way tuendelee..

Yani wanaume[emoji23][emoji119][emoji174] ni hawafai hawa viumbe kuna mda unaeza tamani kuwapiga hata risasi wafe tuu jamani
 
Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela

Kama unasoma hii story na shida zako za maisha sijui huna ajira nashauri bora tu uache mana utapata presha zote na vidonda vya tumbo juu[emoji23] utaona kama wewe umekuja kusindikiza watu duniani afu utaishia kumlaumu MUNGU uchume na dhambi buree ila kama unasoma for fun utaenjoy mnoo yani[emoji119][emoji119]

we soma tu kama story za kina singano vile afu pita hivii kwenye maisha kila mtu na njia zake za mafanikio usitake kujifananisha na mtu utaumia sanaa

Kuna watu inabidi tuhustle sana kupata pesa ila kuna watu njia zao sio ngumu wakigusa tu kitu kinatiki ko we mshukuru MUNGU afu songa mbele[emoji4]
 
Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom