Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Prisca ana wivu sanaaaaa wa hatari kwa kutoweza uvumilivu... lazima alioipata pake akikutegenea uwe naye kama kwa chini iwe nusu ya wiki umekuwa nae. Wazazi hukumalizana nao... Dodoma trip I hope hakuchokonoa mwili wake na chochote... si alishaanza ya tumbo...
 
Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela
Cycle yako ni ya watu wasio na hela kama mimi. Unatagemea uzipate kutoka wapi? Zaidi ya hao wanaokuzunguka ambao wamechoka zaidi kiuchumi kukuomba wewe uwasaidie?

Kumbuka msemo huu; "Show me your friends and I will tell you who you're!"
 
Mkuu hii paragraph ya mwisho ni kama umeniandikia mie, na'hustle sana na mchuzi unakuja sana. Nikilegeza tu kidogo naona kabisa itakua chali kwangu.
 
Kwani umelazimishwa kusoma? Kuelezea undani wa biashara nalo kuzuri kunatoa funzo nenda kwenye Uzi wa Kula tundra kimasihara wewe ni wale wapenda nyuzi za kudinyana tu ...
 
Nothing Serious here, just Entertainment and some lessons to learn .

Unakaza mishipa ya Shingo hivyo ya nn mzee?
 
Mkuu hii paragraph ya mwisho ni kama umeniandikia mie, na'hustle sana na mchuzi unakuja sana. Nikilegeza tu kidogo naona kabisa itakua chali kwangu.

wengi wetu tupo hivo yani kula yetu ni ya kumwaga jasho sanaa ko tuendelee kupambana tu mkuu[emoji4][emoji4] Na tujifunze kuwa binadamu hatufanani kwenye mambo mengi sana
 
Aisee upo sahihi sana[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Sijasema mbele ya mama J..namaanisha kuna uwepo wa mama J sio lazima awe mbele yako...mfano hapo mlipokua sijui site...si ulisogea pembeni ukaongea nae na I love u juu?.. any way tuendelee..
Punguza wivu mwanaume haolewi yeye ndiye anaoa hivyo anaweza kwenda popote kutoa upwiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…