Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu



Naandika hii story kwa shida sana ukiangalia hiyo calendar juu huwezi kuelewa ila ndo matukio yenyewe. Ukiona nakuambia ilikuwa ni siku gani tukio limetokea bhasi elewa huwa narudi kwenye calendar kurecall, na matukio mengi nilikuwa nayaandika kwenye simu.(Code zote nitafungua mwisho wa story)

Nashangaa sana kuona watu JF wana Negative Perceptions na nimegundua humu ndani wengi wako desperate na maisha hawana exposure yoyote ya maisha.

Mimi nilivyo na mambo mengi nipoteze Muda kwa kuandika fiction story? Sina muda wa kupoteza asee hata hii story naandika sababu naamini kuna watu wanajifunza.

Nilisema ningeishia na Epsode ya 30 lakini kutokana na utitiri wa matukio, msinge elewa na ningepata tabu sana kuwalezea mwishoni.

Sijawahi kuwaandikia kuhusu kukutana na Celebrities lakini nimefanya nao kazi wengi sana hasa hawa wakike tena wale maarufu wengi ni washikaji zangu mpaka sasa. Kwa upande wa kiume wengi ni machoko asee hasa hawa presenters [emoji1544][emoji1544], Mungu atusaidie presenters wengi maarufu hawana malinda asee.

Ndugu zangu navyo waambia story nawapa kila weekend muwe waelewa maana kuandika life story sio kitu rahisi, matukio mengi sana huwa nina yaruka na mengine huwa nafuta.

Nikiandika episode lazima niipitie tena kuna vitu vingine huwa nafuta, good news nimeshaandika Epsode zote za kumaliza hii story tatizo ni muda wa kuzipitia tu.

Kwasasa niko busy sana maana kuna Projects zangu naziweka sawa na mwezi ujao nitaanza Masters.

Kwa msilolijua hii story nilipanga kuwaletea toka muda mrefu ila nilikuwa naona uvivu kuiandika na nilianza kuiandika April mwaka huu, July ndo nilianza kuipost.

Na hii ni comment yangu kama ushahidi, kuna ndugu aliuliza kuhusu hii biashara na watu walinisumbua sana PM kuhusu maelezo ya hii biashara ndo nikaamua kuleta huu uzi,

 
INSIDER Mimi ninaombi mzee mwenzangu, kwakuwa kesho ni sikukuu si mbaya ukatubless na ki episode cha kusogeza sogeza siku ndugu yangu. Kama itakupendeza lakini.
Nikutakie siku njema.

Kesho nitawaapa Episode ya kujazia weekend ila naogopa mtanisumbua kwa Arosto maana tunakoenda ni mwishoni na Arosto ni kubwa sana.
 
Achia tu Mzee wala usijali kabisa wengine arosto ishaota sugu daaadeki [emoji23]
 
Usitake kubembelezwa naona umeanza kuwa mkubwa zaidi ya jf yenyewe
 
Brooh..... Hongera kwa kazi nzurii ya uandishii wa matukio yanayomkuta mtu yeyote, specific ukiwa wewe....

Watu wengi umu wako traumatized na maisha yao na ya wengine.... Km umeligundua Hilo lisikupe shida. Mimi napenda story na kusoma vitabu wewe andka na hata ukituma mwakan nitaipitia.
All the best brother.
 
insider mm nakushauri achana nao hao mazwazwa wala usijibu , mm namin hii ni true story kwa asilimia kubwa hata kama kuna fiction ni kawaida kwenye uandishi ili kuficha uhusuka wa watu. sasa mtu kila saa yuko kufuatilia halafu anaponda aisee. binafsi nimejifunza vingi sana kupitia huu uI
 
Watu wako na matatizo, chuki, wivu, umaskinii mbn hio ngoma itakua nzito...

Mzaz wangu alishawah niambia sio kila anaetajirika katumia nguvu kubwa... Wapo wanaotajirika na kufanikiwa kupitia mikononi mwa watu km stori inavoeleza na Mimi naamin kwa sababu najifunza kwa watu walionizidi umri, elimu, maarifa na hata kiuchumi pia.

Sioni ktk storii kitu cha ajabu hata kdg Ila watu wañavyotukana.... Na kumkosoa mtu sio poa.... Ana majukumu ya kazi, ndoa na yeye binafsi bdo kuandika ni muda huo pia Ila hawazingatii...
 
Mkuu shusha nondo tunaokuamini tupo asee, achana na hao wasiojielewa
 
tunaokuelewa ni wengi , tupe muendelezo achana na wababaishaji wachache
 
Inside huyu Dada happy anakutamani mbona amekushupalia ebu M pm ili ukamwonyeshee ya Prisca asikufatefatr eti story ya uongo huku yupo humu humu anaimezea mate na kuwaonea madem wa Insider wivu
 
Unahasira na boss lady mi namuhurumia maana anateseka nafsi inamuuma.
Hapana mi ananiboa anavojiroga Mwenyewe kujifanya ana msimamo kumbe anaumia!! Sa alisema kila mtu awe huru na private life lake huku anacomlpain kupotezewa argh!
Na hiko kitu kitamtesa sana ataumia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…