Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimefunga PM watu hawana point ni usumbufu kuomba picha za Iryn, nikimaliza story nitafungua.
Nitaandika email
Kumbe Kuna wendawazimu humu 😂hivi wanathubutu vp,na kwa ujinga wao walifikiri utawatumia kweli?!
 
Kwa Nini usiandike kitabu? Trust me utatajirika.muda sio mrefu na Junior hatapata tabu maishani.Work on it.We sema tu mwendelezo wa hii story utakuwa kwenye kitabu toa no zako ingia kwa wanaodeal na vitabu uza idea mbona baada ya muda ni Mambo mswano??? Fanya hivyo mjeshi Insider
 
Unamlipa sh.ngapi? Ungrateful people like you are so dangerous in life
 
Anza kwanza wewe kumlipa kwa alichosimulia tokea ep1 had sasa ep59. Acha maneno mengi!
 

Vijana wangu mna Arosto sana nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544]
 

Idea nzuri, episode zilizobaki mtalipia bhasi[emoji23][emoji23]
 
Everything goes with research......
Kwa wabongo wengi unajua tu hawapendi kusoma vitabu yaani asijeingia gharama za bure wakati hakuwa na plan hizo huu mtindo ni mzuri japo malipo yake yanaweza kuchelewa ila naamini Mungu atamlipa
"When you open one door for others,other million doors opens for you"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…