Wewe block tu wasiojielewa ila wengine tunajifunza mengi sema tu basiii,. Ukiwa unablock angaliwa wengine wanatania tuu kunogesha hasaa baada episode inapoishia kwenye utamuuu[emoji28]Kuweni matured, sioni sababu ya kutukana humu ndani. Kama mtu hajitambui ni bora uka achana naye lakini sio matusi.
Mimi nachofanya kwasasa ni kublock wote wanaotukana
Nafikiri lengo lako kaka, siyo kutajirika kupitia hii story ila naamini ukitaka watu wajifunze kupitia zile njia ulizopita na kufanikiwa na moja wapo ikiwa ni uaminifu kama msingi wa kila kitu kwenye haya maisha,Kama sites gani?
Ila Rotyweiler ni wakuwa nao makini anaweza akakurudia wanakawaida ya kupoteza kumbukumbu, napenda mbwa na ninafuga pia, so ninafuatilia sanaa,Rottweiler ni mbwa mwenye nguvu sana za miguu ana anauwezo wa kutembea muda mrefu bila kuchoka, ni mstaarabu hana mambo mengi ila hanaga masikhara kama wewe ni adui.
Comb ya Rottweiler & shepherd sidhani kama kuna kibaka atakatiza kwa Jane. Na sasa ni wakubwa balaa sio poa [emoji1544][emoji1544]
Usitume picha ya mtu hata yako usitume, mtu kama anahitaji msaada wa kuvuka msaidie umejifunza kupitia mzee Pama, so baada ya kumaliza hili nikuombe utoe hata unofficial email ili uweze kuwasiliana na watu hata kimawazo na ushauri najua kuna watu wengi kama mimi tumepata funzo na yapo ya kuhitaji kama ushauri na mambo mengineNimefunga PM watu hawana point ni usumbufu kuomba picha za Iryn, nikimaliza story nitafungua.
Nitaandika email
KabisaaaMkuu hao rottweiler wana tabia ya kufuta mafaili kichwanii..yaan anweza akakusahau at ww mfugji wake akapita na ww iv..
Matusi muhimuKwani hujaanza kuona dalili mkuu kama utabiri ulivyoandikwa hapo mwanzo...
Imsider na Iryn lazima wafanye matusi hakiyamama...
Wameuza soul kwa Lucifer ili wawe famous international....Daah nimepatwa na mshangao kuwa baadhi ya watangazaji machoko! Shida nn?
Hii ni kweli Mkuu.Mkuu hao rottweiler wana tabia ya kufuta mafaili kichwanii..yaan anweza akakusahau at ww mfugji wake akapita na ww iv..
Mkuu unawachukulia poa sio #Shepherd eti wanangata kirembo!!!???Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.
Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.
Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246View attachment 2765248
Duh! Kwahiyo mbwa mzuri yupi, kwenye kufuga?Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.
Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.
Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246View attachment 2765248
Hapa ni Kijitonyama karibu na Grand Hotel. Vipi hapa ndipo anakaa kimwana?
Inategemea na wewe, Kama una Eneo Kubwa na Una Muda wa Kutosha Kutrain Mbwa basi Go for German Shepherd ila kama una kaeneo tu Kadogo ka kulinda na Huna time achana na Shepherd atakuboa sanaDuh! Kwahiyo mbwa mzuri yupi, kwenye kufuga?
Inategemea na unahitaji kwa ajili ya nini mKuu.Hapa ni Kijitonyama karibu na Grand Hotel. Vipi hapa ndipo anakaa kimwana?
Duuh nilikusahau sisy...ndo waja leo?πππ
Mkuu ndo hapo ulikuwa unadrein saliva kwa Iryn ndipo mwanga wa gali ukawapiga??