Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Duh! Mkuu! Una phd ya dogs? au? Maana, si kwa lecture hii!
 
Habari lifisi weyeee nakusalimia
 
Wameuza soul kwa Lucifer ili wawe famous international....

Hali ni mbaya mtu yuko tayari akupe million 5 kisa umfumue marinda [emoji1316][emoji1316].

Ukiwa dereva wa Uber kukutana na hawa watu ni kawaida inabidi uzoee, na wanatongoza Wanaume kabisa. Wamenisumbua sana hawa watu enzi zangu kuna wengine maarufu tu huko mitandaoni.

Bora Bongo umeenda South Africa? [emoji1544][emoji1544]

utasikia Uncle nipeleke Tips
 
Hata hawa iringa sherfad (bibi,Popi)nao ni wazuri kwa matumizi ya kawaida kama hutaki mambo mengi maana nao wakiwa trained wanakua poa pia.View attachment 2765330
 
[emoji52]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…