Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kanikata stimu kabisa na kujiona mjinga! INSIDER MAN umezingua!
 
Waafrika sijui tunakwama wapi? Kama kitu ni kweli sema ukweli! Kwanini udanganye watu wazima uku ukitanguliza "TRUE STORY" Dah! Wakati mwingine nilikuwa naacha mambo yangu kufuatilia hii story kumbe napoteza muda na bundle! Shit!
 
Kukoment tu ni alosto.....maana unataka tukupe attention kama sterling wa movie tulia ukoo
 
Tulitumia kama masaa 4 home na wakati wa kuondoka tulipiga picha ya pamoja na familia yangu na nikamrudisha Ramada akapumzke, maana alisema toka arudi na dada hakupata muda wa kulala.(Siku ukibahatika kuja kwangu hii picha iko seblen).
Sasa mkuu hapo kwenye kubahatika kuja kwako ndo kipengele
 
Wasomi na wasomaji wameanza pandisha mori km msimu uliopita.

Iryn kutoliwa wamefadhaika mno watu wamenuna, wamediriki kusema hii ni chai na wengineo wameenda lewa usiku kwa hasira [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28] sijui nacheka nini ila nimejikuta nimecheka tena jana nilikuwa niko Bwiiii mda kama huu natukanana na mabaunsa[emoji1787]
 
@Insiderman kira mpira ukifika golini yeye na kipa anapaisha sijui shida nini
 
Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
kwa ujumla ni kwamba mtunzi ameshawaona nyie mnaosema hii ni true story ni kima, huoni ameshaweka mazingira ya kukosana na iryn kwa kisingizio cha eva. akili kumkichwa, sina mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…