Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

 
Insider man! Hata mtu ambaye hajasomea saikolojia atajua unasema uongo! Uo ni uongo wa mchana kweupe! Unamtumia Iryn kama "sterling"

Hii story uongo mtupu! Anatufanya wote mazuzu! Siisomi tena!

Vipi akikwambia wewe ndio ukachekiwe... 😅😅😅

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

 
Na angefanya hivyo tu hata lyrn mwenyewe angechomoa betri...uaminifu ni kitu kizuri kuliko tamaa.... Watu wa kaliba yako nyinyi ndio wauaji,madhulumati na wasaliti wakubwa pesa utazikwa nazo?
Endelea kusoma uzi uone kilicho mkuta
 
Humu ndani watu wanapiga kelele sababu jamaa hajataka kuandika scene ya kumla Iryn, watu mnawaza Ngono tu.

Hawa wanaondika sifuatulii ndo nyie mlikuwa mnapiga kelele toka mwanzoni, leo tena nawaona hapahapa kwa uzi wa mwanaume.

Msipangie mtu aandike mnachotaka nyinyi kwanza hamlipi hapa Centi,

“Title ya uzi inajieleza kabisa”. Anachofanya kwasasa ni kuleta Drama walizopitia na Iryn, na true story yoyote mtu hawezi kuandika direct lazima Code zihusike. Hata maelezo 80% ni muandishi anayaweka kunogesha story lakini tukio lilifanyika kweli.
 
Ulizingua sana mkuu! kwahyo hujui kinachomliza Iryn au sio? Then unaondokaje unamuacha mwanamke analia? Alafu eti unamwambia kua huelewi analia nn wakat hamna mahusiano dah majibu ya kikatil sana man, wewe umeambiwa mara ngapi na Lucy kua boss wenu anakupenda?! Alafu mama wawil anapata wap ujasir wa kukupigia usiku simu na anajua ww mume wa mtu, otherwise unambie alikua anahitaj usafir( alikupigia kama dereva) . Leo nimeshindwa kucomment kimoyomoyo episode hiz mbili ulizingua sanaa yan
 
Kwa sababu irene ameonesha nia ya kumtaka irene na insider kamuweka irene kwenye mabano yaani awe nae sawa na asipo kuwa nae sawa .

Wakati huo irene anajiona yeye ndio anampenda insider na anamtaka na haya maji alisha yavulia nguo tangu ajue insider ameoa na anamtoto lkn hicho hakikua kikwazo bado irene aliendeleza mapambano.

Ni wazi kwamba hili la akina prisca haliwezi mtoa kwenye reli lita mstress tu lkn nia haifi .labda insider utudanganye.

Na mwanamke akisha kupenda anapenda ukweli na irene kampenda insider ukweli hajamtaka kwa sababu ya njaa ila ni naturally love. So nothing can stop her.

Na hadi hapa irene mwenyewe atajihukumu kwa kazi yake ya masaji hivyo ita regulate na Visa vya akina prisca yaani vita ji cross multiplication vitakua resolved. Hivyo bidada atapata nguvu mpya na sababu mpya ya kuhakikisha insider wanaingia nae kwenye mapenzi.

Hadi hapa Lucy ajiandae kuwa na special mission kuhakikisha irene na insider wanaanza kudinyana na ili mambo yake yaende vizuri na atafanya hivyo

Hadi hapa irene bado ni wa insider bado hana sababu ya msingi ya ku give up
 
Eva alikuwa sahihi maana hata mimi nikimwona dem wa mshikaji wangu lazima nimsalimie.
Hayuko sahihi hawezi Anza kuongea vitu zisizo mhusu na hajui uko na nani mda huo yeye anaongea tu it's big mistake unamkosea sana boss wako isee anakuvumilia tu but heshima hakuna
 
NDIO MAANA YA STORY HAITAKI HARAKA INGEKUWA NIKUMALIZA ANGEMALIZA EPISODE YA KWANZA TUU KWAMBA NILIMLA IRYN. ILA SASA MAMBO NIMENGI NA NDIO TUNAYAHUTAJI TUBURUDIKE. MKUU WALA HAIBOI KABISA ZAIDI NI BURUDANI YANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SURE MKUU WATU WANATAKA SEHEMU YA KUMLA TUU WANALAZIMISHA AANDIKE HAKO KA SCENE PEKEE HATA KAMA HAIJAFIKA HUKU NI UDUANZI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wabishi mnasema ni chai.. kama vile asilimia kubwa hamjawahi kutokewa na kitu hakisogei kisa njia yoyote kuingilia kati tukio/kitu hautendi or hakitendeki.. hadi unajiuliza
Wanasema chai ila bado wanaifuatilia hao ndio wabongo
 
Umepanic kama umepigiwa demu wako hebu relax maisha haya sio magumu kama unavyo dhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…