Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ahsante kwa ushauri bro but huyu mtu anakwenda ofisi zingine kabisa sio kampuni hii, but nitayafanyia kazi mawazo yenu.
Bro, Issue sio kwenda kampuni nyingine issue ni kuwa yuko connected na Mama Janeth na yeye atakuwa curious kumfahamu Iryn lazima afanye njia yoyote kuprove kile ulikuwa unasimulia Hapo hapo ndo kitaharibika
 
Isije tu kua ile comment ya Lryn kufariki mhhh hapana hapana.
Antonnia Kaparo Kalpana
 
Brother suala la Fursa angalia njia nyingine inawezekana umepost kwa mazuri lakini you have to be careful, hata kama ni kampuni nyingine rafiki wa mama Janeth, think

Mimi kama mwenyekiti wa kamati ya Roho mbaya hizo CV acha nazo na usithubutu kuonana na watu wapya nje na unaowajua, kama mazungumzo weka email, unakumbuka ulilamika walianza kuweka personal ishu zako??

So kila mtu ana jema kuna mwingine hapo anataka kufanya Research tu, sikiliza ushauri wa wana huko juu hata mimi naunga mkono.

una Roho ya kusaidia but try it on another way. Wewe ni classmate wangu lazima nikushauri, hizo CV zipige chini.
 

Got you bro Ahsanteni ndugu zangu kwa ushauri sikuwaza deep sana, zebri said Fohadi Village-in miles45 A man with no name nknk
 
Nimechunguza nikaona Kati ya wote wanaomshaur INSIDER MAN asitoe connection ya kaz Kwa member wa hum hakuna hata mmoja ambaye ana japo miaka 10 hum jamvini.

Ninavyojua Mimi people's wapo different popote iwe jf au nje ya jf.

INSIDER MAN kikubwa ni nia na dua

Hum jf kuna watu wazur Sana Sana. Nimeish hapa dunian miaka ya kutosha lakin wana jf niliowah kufahamiana nao wengi ni watu wazuri Sana saaana kuliko hata niliofahamiana nao mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…