Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mwanao anasema haogopi mtu hapa jf. Mwambie kuna wafukunyuaji na roho mbaya zaidi ya mange kimambi
acha uchawi mkuu, acha watu wapewe connection, nyie ndo mkipataga vihela mnataka ukoo mzima uwaabudu.
 
unateseka kutokea wapi ndugu...
 
Mimi ni muhanga wa haya mambo kibaya zaidi wengine wakamfata mtoto mzuri akafungue kesi mahakamani ili wanipige hela ..yaani mtu ukisikiliza maongezi yake jinsi anavyo mpanga demu akushitaki hadi unajiuliza huyu jamaa nilimkosea nini hadi anataka kunifanyia hivi.

Uzuri Muhusika alinipenda kweli pamoja na hayo yote alichagua kunisamehe na kuwalamba block wajinga wote na kubaki na mimi. Tupo vizuri now
 
Kama walivyokuharibia kwa ile pisi yako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Bora hata wangeharibu tu basi ila watu wakaanza kumfundisha pisi jinsi ya kunishitaki mahakamani na atalipwa fidia kubwa ambayo wangegawana.

Fikiri unaanza kuhuzuria mahakamani ndugu wanajua,mke,watoto familia na jamii yako yote kwa kisa kama kile mkuu

Manzi alikua anawarekodi alafu ananitumia unakaa chini unajiuliza huyu jamaa nimewahi mkosea nn hadi anifanyie hivi......? Watu wanaroho mbaya shetani akasome.

Ila ndio hivo pisi alisamehe na tukayajenga now tupo vizuri sana kuzidi hata huko nyuma ningekua sijaoa ningemuoa
 
Aiseeee, kuna watu majuha sana humu kama hali ilifikia hivi.
 

hakuna mwenye wivu ndugu isipokuwa tumempa tahadhari ili mambo yake yasiharibike huko mbele. Hivi unawajua wanawake au unawasikia? Tena wanaofanya kazi za saluni unajua walivyo wambea? Eti afanye siri na asipofanya siri je utamfanyaje? Nakuhakikishia akiajiri mtu aliyetoka huku JF ni lazima atasema tu.
Yeye mwenyewe ndie kakosea kwani kama angetafuta msichana kwa kutumia ID nyingine tena kwa kufungua uzi mwingine tu huko kwenye forum ya urembo nani angemjua kama ni yeye? isingekuwa rahisi lakini kwa hapa alivyoiweka hilo tangazo la kazi kwa ID yake na katika huu uzi wake mwenyewe basi ajiandae tu kuharibiwa CV yake yeye mwenyewe!!
 
Wanasema "sio Kila anae kuchekea anakufurahia"
 
Kibongobongo sawa ila wanawake wenye element za Tabia ya ki Europe sahau basi ina maana basi unless otherwise
 
Ilivyo ndefu nikajua episode 62
 
Nashukuru tu nilikutana na mwanamke muelewa wangekua ni hawa wa fursa sijui hali ingekuaje. Kupitia hayo maumivu nilio yapitia ndio maana namuonya sana insider asije akafanya hicho kitu kuna watu wanaroho mbaya mnoo roho za kuharibu
Andaa Uzi kuhusu Hilo tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…