Hapa ni jf center ya watu wa bad. Watu aliowapa muongozo washaanza kutoa siri zake humu. Sanuka hapa ndio maana haturuhusiwi kujianika kila kitu.acha uchawi mkuu, acha watu wapewe connection, nyie ndo mkipataga vihela mnataka ukoo mzima uwaabudu.
Hii tabia ya hawa wafuasi wa muandishi alafu wanatutusi inanikera sana!!! Wasihisi tukiamua kuwatafuta tutashindwaHuwa unasoma vitabu vya hadithi mkuu ??
Kuna uzi wadau wanapost vitabu mbalimbali vilivyotungwa na waandishi nguli kwa wadogo. Ukisoma hivyo vitabu na mtu anakwambia ni hadithi tu unaweza usiamini jinsi wanavyopanga matukio, maneno na kuumba wahusika.
Hii story ya jamaa kuseme ni true 100% hapana. Maana humohumo anajitahidi na yeye kuficha id yake na ya wahusika.
Na pia kukumbula conv za mwaka jana kwa kila kitu sio rahisi mkuu labda kama alikua anarekodi au kuandika kila sentensi. Mpaka siku alizokua mbwii anakumbuka kila kitu mzee, hivyo kwangu naona ni kunogesha story ili parts zirandane.
Na insider nimshauri kua aache kuaminisha kua hii story ni ya kweli. Mpaka alipofika ishathibitika ni ya ukweli. Ila kwenye uandishi wa story ndefu namna hii huwezi weka ya kweli yote kuna namna utatwist tu kuiweka sawa hadhira yako.
Kinachofatiliwa ni ile content ambayo ndiyo ya kweli. Hizi conv na routes za hapa na pale ni utundu wa mwandishi kucheza na lugha.
Yeah na Iryn anamkubali sana Lucy afanye manuva kuwapatanisha ili nae mambo yake yanyooke!Lucy apewe maua yake kamshauri sana INSIDER ila jamaa hakushaurika sasa ndio anaomba ushauri naimani Lucy anaweza kuwapatanisha na boss lady
Umehisia vizuri ila unafeli kwenye mambo mawili ,nayo ni-Huyu mwandishi(insider man)
1...kwenye uandishi yupo vizuri Sanaa hakuna mtu anapinga ata Mimi #redfrog najifunza technique za kuwa muandishii Bora Kama yeye.
2...pia anakipaji kikubwa sana kupanga matukio kuendana na story...narudia hii Ni kipaji sio kila mtu analiweza hili...hata Mimi najifunza hili kutoka kwake
3.... Innocence:ukijiuliza kwanini mademu wa humu Jf wanaipenda hii story moja ya sababu iko wazi huyu mwandishi na uandishi wake unaonesha Yuko innocent au tuseme Ni mkweli/muwazi/sio mdanganyifu(kutokana na maelezo yake lakini) kwenye kila matukio anayoongea....na tunajua hii Ni sifa ya kuteka Moyo wa mwanamke Yoyote iwe Ni kweli au kwa kudanganya pia
4.....mwisho:hii story binafsi sijaona typing error Yoyote.....hakuna makosa ya matamshi mfano 'L' na 'R'
KWANINI NIMEONA HII STORY NI CHAI CHAIII CHAI!!!!!!
nilishasema Sanaa
1....zile episode 30 za mwanzo jamaa alikuwa anaelezea matukio kweli Ni ngumu kujua Kama ilikuwa Ni CHAI CHAI CHAI(maybe yes maybe not also) ....Mimi Kama #REDFROG nilijifunza vitu vingi nikiri
2.....Baada ya hapo hakuwa na jipya uongo mwingi anatupanga TU mpaka tunavyoongea now....ndio maana nilisema kwa mawazo yangu huenda hii story ilitakiwa kuisha kwenye episode za 30s(based on positivity mindset yangu)....au pia ni chai mwanzo mwisho(negativity)
SOLUTION/qn
1....Inawezekana mwanzo ilikuwa Ni true story ila mwandishi kaamua kuEXTEND kwa kuiongezea chumvi ili kuwadaka wengi(Kama nilivyosema hapo juu)???
2....Au hii Ni FICTIONAL(CHAI CHAI) Kama wenzangu wanavyowaza???
NB:majibu ya mihemko nitakuzingua......Soma elewa jibu kwa fact #REDFROG
Kabisa Eva amezingua sana!Hiki kipande kimeharibiwa na Eva INSIDER anakumbuka makosa aliyofanya hofu ipo kurudisha mkopo wa mama 2 maana kibarua kipo mbioni kuota nyasi.
Hapana sio mimi sis hii story nimeisoma imeshaenda sana! Nimeikutia karibia episode ya 18 huko!
Story ukiingozea chumvi that ain't true story anymore Ni obvious Kuna events/matukio utaongeza kwa mwenendo wa kufanya story eiendelee mbele which is not right.....Umehisia vizuri ila unafeli kwenye mambo mawili ,nayo ni-
(1) Story kuwa ndefu ni chai?
(2) huja ainisha uongo wa mwandishi.
Alafu sijaona sehemu amerudia tukio.
Hivyo naamini/tunaamini ni story ya ukweli uandishi wake na kutokuwa na uchu ndio sababu kubwa iliyovuta makini ya wasomaji
😂😂😂nikajua ni ww ccyHapana sio mimi sis hii story nimeisoma imeshaenda sana! Nimeikutia karibia episode ya 18 huko!
Hapana sio mie kipenzi! Mundele Makusu Kaparo Nuhu39 Missy Gf Kigi Makasi mna hio taarifa hapo juu taarifa lakini??? 👆🤠!😂😂😂nikajua ni ww ccy
Nahisi ni yule alisema Kuwa insider ataenda kusoma haha!! Ngoja tusubirie tuone!!Hapana sio mimi sis hii story nimeisoma imeshaenda sana! Nimeikutia karibia episode ya 18 huko!
Hamna story za maisha zenye ukweli 100%.Hii tabia ya hawa wafuasi wa muandishi alafu wanatutusi inanikera sana!!! Wasihisi tukiamua kuwatafuta tutashindwa
Kama hii ni chai ni chai tu! Inaviashiria vingi kuitwa chai na hawaamini!! Mimi nasoma sana story za watu kama kina sidney sheldom yule mzee akiandika kitabu unakiishiii na unapinga kama ametunga!! Afl kuna mtu anakumbuka matukio ya mwaka juzi j5 saa 6 usiku anakwambia ni TRUE STORY anakichaa kabisaa na akapimwe akili
Mla Bata wewe ni kifisi lililoshibaaaa hahahaInaendelea......
Simu yangu ilianza kuita, kucheki alikuwa camilla binti wa mzee juma.
"mambo insider vipi utakuwa na nafasi leo jioni tukapate dinner? Alafu kuna mzigo wako kutoka kwa dady"
Niliwaambia camilla anapenda sana kudeka na uzungu mwingi, ile sauti yake tu nikashindwa hata kumkatalia.....
Baada ya kumaliza dinner camilla alinikabidhi bahasha na kuniambia "huo mzigo wako insider, dady amesema utakusaidia na kukusogeza mpaka wiki ijayo atakaporudi......nilimrudisha camilla kwao na kabla sijaondoka nikafungua ile bahasha ya A4 ndani nikakuta burungutu la elfu kumi kumi zimefungwa kwa haraka haraka nikahesabu ni kama million saba hivi mzee juma alinipa ya matumizi, nikasema hii nitaanza kumlipa mama wa2 mkopo wake.....
Hakuna cHapana Mmash mie hata sina hata sina chogo! Mie flat screen!
Alafu nyie watu😁Wabaya
Unaingia kwenye property alikuwa kajilalia zake anaamka
Anaanza kukusoma harufu na mazingira dk 15
Faili lisiposoma anakurarua🤣🤣
Lakini haka kaneno matusi, ni ka long sn........ since then the 80s😂Watu mnapenda matusi hahaha,
Rafiki yangu nakupa pole sanaa ila nakushukuru sana maana yapo mengi ya kujifunza. Ninachotaka ujue ni kwamba kweli kila changamoto unayokutana nayo mbele kuna mafanikio so, nimejifunza hivyo maana na mm nimepitia changamoto nyingi hadi nikapata pressure tena ya kushuka but Namshukuru sana Mungu aliyeweka uvumilivu ndani yangu. Ila utafika mbali, maombi ya mama yanafanya kazi. Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na ziwa ulilonyonya, usimsahau mama kwenye kila jambo, umkumbukage mama unapotoa hela kwa wengine anakuombea sana naamini hivyoAngalia post za mwanzo kabisa
Hahaha matusi mijegejo kwichikwich hotae hahaLakini haka kaneno matusi, ni ka long sn........ since then the 80s[emoji23]