Kwa kweli MjukuuAsantreeeeeeeeeeh! Binafsi cha kwanza nilichoikubali hii story ni motivational story! Inahamasisha sana kupambana bila kuchoka!
Kabisa Yani shortly he's so lucky!INSIDER kazungukwa na fursa ashindwe yeye tu Mama 2, Mzee Juma Boss lady Manuel.
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa zaidi na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha ππ!!Kwa kweli Mjukuu
Ni funzo kwenu Vijana, sisi Wazee umri umeshatutupa mkono π€ͺ
Tumebaki kama Mzee Pama π
Kuchakata mbususu ni kwa Vijana, sisi Wazee Umri hauruhusu maana unaweza kukutana na binti anakupa kila saa kama Prisca wa INSIDER MAN alafu ukakata moto π€ͺKabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha ππ!!
Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !
Amen!
Boss Antonnia nipo tayari kukutumikia kwa uaminifu zaidi ya INSIDERKabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa zaidi na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha [emoji23][emoji23]!!
Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !
Amen!
Mabinti wa hivo ndio wazuri babuu wanakufanya uishi maisha marefu kwa kukufurahishaaa na kuchangamsha mapigo yako ya moyo na nafsi wewe hata husumbuki wao ndio wanacontrol mchezo mzimaaa hadi ukiwa kazini kila saa unatamani ukutane nae!Kuchakata mbususu ni kwa Vijana, sisi Wazee Umri hauruhusu maana unaweza kukutana na binti anakupa kila saa kama Prisca wa INSIDER MAN alafu ukakata moto π€ͺ
Thanks for the wishes and blessings, huenda nikaishi miaka mingi kama ya Mfalme Daud
Mweh mie kapuku hohehahe tu mkuu sina mbele wala nyuma!Boss Antonnia nipo tayari kukutumikia kwa uaminifu zaidi ya INSIDER
Amen Mjukuu ππMabinti wa hivo ndio wazuri babuu wanakufanya uishi maisha marefu kwa kukufurahishaaa na kuchangamsha mapigo yako ya moyo na nafsi wewe hata husumbuki wao ndio wanacontrol mchezo mzimaaa hadi ukiwa kazini kila saa unatamani ukutane nae!
Amen Amen granpa ishi sana!
[emoji38][emoji38] Boss lady nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu najua wewe ni boss hapo mjini nile mema ya nchi nisha choka kuwa sindikiza wakina INSIDERMweh mie kapuku hohehahe tu mkuu sina mbele wala nyuma!
Kwani wewe mwalimu wa mwandikoAndika vizuri comment zako
Weeee babuu Ng'ombe hazeeki maini weeeeehh acha zakoo!Amen Mjukuu ππ
Ila Nguvu zenyewe natoa wapi babu yako, maana jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara 3 kama Jogoo wa Petro wakati anamkana Kristo π
Ebu nijicheke tu kwanzaaa π€£π€£π€£π€£π€£[emoji38][emoji38] Boss lady nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu najua wewe ni boss hapo mjini nile mema ya nchi nisha choka kuwa sindikiza wakina INSIDER
[emoji2][emoji2][emoji2] Nafsi inaniambia wewe ni Boss lady kama IryneEbu ncheke kwanzaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Walai Mie choka mbayaaa pro max nipo nipo tu hahaa!! !
Ngoja tuwacheki mabosi humu wakupe connection mkuu nina imani hawakosekani Mungu ni mwema atafanya njia pasi na njia!
Hahaha.......eti tupewe yoteWeeee babuu Ng'ombe hazeeki maini weeeeehh acha zakoo!
Wazee mpo vizuree babuuu hamnaga mambo mengi kabesaaaa afu ni waelewaaaa mnoooooo!
Mabinti wawape yotree tyu kwakweli!
Weee babu weeee mi simoooπππππΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈ!Hahaha.......eti tupewe yote
Huwezi amini kwa kusema hivyo tu eti Jogoo nimesikia kama anataka kuwika, sijui ndiyo kunakucha ππππ
Uzi mtamu sana dear huchoki kuusoma!!Huu uzi mbona haupoi una kipi cha ajabuππ
Maana kila nikitaka kuingia roho inasita ila naona uzi upo juu mawinguniπUzi mtamu sana dear huchoki kuusoma!!
Hahaha......................πππWeee babu weeee mi simoooπππππΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈ!
Ukute unanichora tu hapa mkuu sijapentaaa![emoji2][emoji2][emoji2] Nafsi inaniambia wewe ni Boss lady kama Iryne
Nina imani utalifanyia kazi ombi langu na jua sasa hivi uko busy na kampuni zako una manbo mengi unahitaji usaidizi