Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kwa kweli MjukuuAsantreeeeeeeeeeh! Binafsi cha kwanza nilichoikubali hii story ni motivational story! Inahamasisha sana kupambana bila kuchoka!
Ni funzo kwenu Vijana, sisi Wazee umri umeshatutupa mkono π€ͺ
Tumebaki kama Mzee Pama π