Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Asantreeeeeeeeeeh! Binafsi cha kwanza nilichoikubali hii story ni motivational story! Inahamasisha sana kupambana bila kuchoka!
Kwa kweli Mjukuu

Ni funzo kwenu Vijana, sisi Wazee umri umeshatutupa mkono πŸ€ͺ

Tumebaki kama Mzee Pama 😁
 
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa zaidi na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha πŸ˜‚πŸ˜‚!!

Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !

Amen!
 
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha πŸ˜‚πŸ˜‚!!

Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !

Amen!
Kuchakata mbususu ni kwa Vijana, sisi Wazee Umri hauruhusu maana unaweza kukutana na binti anakupa kila saa kama Prisca wa INSIDER MAN alafu ukakata moto πŸ€ͺ

Thanks for the wishes and blessings, huenda nikaishi miaka mingi kama ya Mfalme Daud
 
Kabisa granpah story inafunza sana sema nimebarikiwa zaidi na funzo la kupambana tu sio la kuzichakaza mbusuu hata kama nyingine zinajilengesha [emoji23][emoji23]!!

Weeee hapana babuuu uishi maisha marefu sanaaaa IJN !

Amen!
Boss Antonnia nipo tayari kukutumikia kwa uaminifu zaidi ya INSIDER
 
Kuchakata mbususu ni kwa Vijana, sisi Wazee Umri hauruhusu maana unaweza kukutana na binti anakupa kila saa kama Prisca wa INSIDER MAN alafu ukakata moto πŸ€ͺ

Thanks for the wishes and blessings, huenda nikaishi miaka mingi kama ya Mfalme Daud
Mabinti wa hivo ndio wazuri babuu wanakufanya uishi maisha marefu kwa kukufurahishaaa na kuchangamsha mapigo yako ya moyo na nafsi wewe hata husumbuki wao ndio wanacontrol mchezo mzimaaa hadi ukiwa kazini kila saa unatamani ukutane nae!

Amen Amen granpa ishi sana!
 
Amen Mjukuu πŸ™πŸ™

Ila Nguvu zenyewe natoa wapi babu yako, maana jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara 3 kama Jogoo wa Petro wakati anamkana Kristo 😁
 
Mweh mie kapuku hohehahe tu mkuu sina mbele wala nyuma!
[emoji38][emoji38] Boss lady nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu najua wewe ni boss hapo mjini nile mema ya nchi nisha choka kuwa sindikiza wakina INSIDER
 
Amen Mjukuu πŸ™πŸ™

Ila Nguvu zenyewe natoa wapi babu yako, maana jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara 3 kama Jogoo wa Petro wakati anamkana Kristo 😁
Weeee babuu Ng'ombe hazeeki maini weeeeehh acha zakoo!

Wazee mpo vizuree babuuu hamnaga mambo mengi kabesaaaa afu ni waelewaaaa mnoooooo!

Mabinti wawape yotree tyu kwakweli!
 
[emoji38][emoji38] Boss lady nipo tayari kufanya kazi kwa uaminifu najua wewe ni boss hapo mjini nile mema ya nchi nisha choka kuwa sindikiza wakina INSIDER
Ebu nijicheke tu kwanzaaa 🀣🀣🀣🀣🀣

Walai Mie choka mbayaaa pro max nipo nipo tu hahaa!! !

Ngoja tuwacheki mabosi humu wakupe connection mkuu nina imani hawakosekani Mungu ni mwema atafanya njia pasi na njia!
 
Ebu ncheke kwanzaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]

Walai Mie choka mbayaaa pro max nipo nipo tu hahaa!! !

Ngoja tuwacheki mabosi humu wakupe connection mkuu nina imani hawakosekani Mungu ni mwema atafanya njia pasi na njia!
[emoji2][emoji2][emoji2] Nafsi inaniambia wewe ni Boss lady kama Iryne

Nina imani utalifanyia kazi ombi langu na jua sasa hivi uko busy na kampuni zako una manbo mengi unahitaji usaidizi
 
Weeee babuu Ng'ombe hazeeki maini weeeeehh acha zakoo!

Wazee mpo vizuree babuuu hamnaga mambo mengi kabesaaaa afu ni waelewaaaa mnoooooo!

Mabinti wawape yotree tyu kwakweli!
Hahaha.......eti tupewe yote

Huwezi amini kwa kusema hivyo tu eti Jogoo nimesikia kama anataka kuwika, sijui ndiyo kunakucha πŸ˜πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Weee babu weeee mi simoooπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ!
 
Hahaha......................πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Back
Top Bottom