Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Anatembea na 1m per day mkuu jamaa ni tajiri
 
Wanatuchukulia watoto wenzao humu wakati wengine tunao wanne
 
Hiyo nadhani kwa jinsi wewe ulivyotengeneza fomula hiyo kwe familia yako sisi wengine watoto wetu hawafungwi pampus ni mpaka wako safari kwa dharura,tunajua madhara ya hizo pampas
Mnawafunga nn sasa watoto?
 
1. Prisca kwisha habari yake.
2. Boss lady kwa hasira zake ndo muda uliofanikisha zoezi pendwa.
3. Mama J hatajua
 
KAMBAAA !
 
Chai kwa sababu story haina uhalisia hata kidogo! Sio kuna serena kwa bill ya 500k
 
Kinachonishangaza na kunistaajabisha kwenye huu uzi ni jinsi pesa flow ya pesa zinavyomfuata jamaa, kitu ambacho sio kawaida
Kuna watu matatizo yanafuata daily,vipi hiyo ndo kawaida?
 
Lini hii next epsod INSIDER MAN
 

Hapo no 5 utamlaumi Luccy Bure Kapten, yeye alikupa ushauri maridadi kabisa na alikusaidia wewe kujua kwamba Iryn anakupenda, shida ni kwako kupeleka mdomo kwenye mdomo wa boss wako wakati Bado hamjaweka hali ya hewa vizuri. Ndio maana yakatokea mambo ya nziiiii....nziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…