Kwa nilichoelewa sio kua watu wanakataa icho kiwango cha fedha, matajiri wapo bongo na wanakula bata hasa..Hawa ndo Maison table ya 12million, lakini kuna Maskini wenzangu humu ndani watakwambia CHAI, na Package yao ndo hii na wahuni walikuwa wanajaza table zote [emoji1544]
View attachment 2772953
Alianza kuwatoa out ..... Alipopata michongo ya maana.....Kwa nilichoelewa sio kua watu wanakataa icho kiwango cha fedha, matajiri wapo bongo na wanakula bata hasa..
Changamoto ni kua insider ni dereva uber ambaye asilimia kubwa yumo kwenye ivo viwanja tena anajitoa out, na kuwatoa watu out[emoji2]...
Apo ndo shida inapoanzia, kua uber wote ni matajiri kiasi hiko.??
Mkuu samahani hivi umesema umesoma, ni chuo gani hichi chenye muhitimu mwenye mwandiko kama darasa la kwanza 😳😳😳😳😳Dem Kuna siku alikuwa na special anatak nimfundishe.... Nkamwambia tafuta location...... Saa ngp hatujaenda masaki uko fish monger.... Aani wenzie wnaenda chuo sisi tunaend uko restaurant nkasema achenii hizi elaa.... ziiwe ela
Tupambn wanetu wasije lia na kupost link za free gift maake ni KUBAYA[emoji1787]
Hawasumbui na Mimi stakiii madem wanaolia shida khee.......
Huez Amin Dem anasema ukianza tu CPA tuanze wotee make ntakuwa na mtu atakae nifanya nisome.......
Kwa nn ccy?Hii hadithi episodw hiii episodw ya 62 hata sijaelewa...
Nahisi sijasoma nyuma so naona sipati mtiririko mzuriKwa nn ccy?
Kote nilikutag rudi usome nyumaNahisi sijasoma nyuma so naona sipati mtiririko mzuri
Hivi leo kuna mwendelezo?
Unaweza, kutafuta pesa na ukazipata na upumbavu ukabaki nao.Umasikini ni kitu kimoja cha kipumbavu mnooo! Wanaume wenzangu tutafuteni pesa aisee.
Uzi huu kuna uhalisia mkubwa sana. Niliamua kwenda kufanya utafiti wa maziko ya Mr. Parma Tabora. Wenyeji wanadai ni msiba huo ulikuwa na waombolezaji wengi sana na alizikwa kimila na kidini... Issue ya watoto wanadai wako wengi kwa mama tofauti. Alizikwa km 90 kutoka Tabora mjini. Kuhusu mkewe, mtoa uzi @insiderman ni mjanja hakutaka kumtaja sifa zake ila ni maarufu. Makazi ya Mr. Parma nimejiridhisha na picha ninazo. Hongera sana mtoa uzi...
Sent from my ARS-L22 using JamiiForums mobile app
Kwa nilichoelewa sio kua watu wanakataa icho kiwango cha fedha, matajiri wapo bongo na wanakula bata hasa..
Changamoto ni kua insider ni dereva uber ambaye asilimia kubwa yumo kwenye ivo viwanja tena anajitoa out, na kuwatoa watu out[emoji2]...
Apo ndo shida inapoanzia, kua uber wote ni matajiri kiasi hiko.??
Unahusu biashara za Uber,Hivi huu Uzi huwa unahusu nn? Upo kitambo na unazidi kupaa ila sinaga hamu kabisaa ya kuusoma
haiwezekani Mkuu..lazima sio pesa ya kutosha mkuuUnaweza, kutafuta pesa na ukazipata na upumbavu ukabaki nao.
Unataka kuniambia kuwa Iryn hana hela?haiwezekani Mkuu..lazima sio pesa ya kutosha mkuu