Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kausha bas mbona kama umetumwa mzee au una mishe gan?
 
Kabisa hapo anafeli sana anamkaziaje kiasi hicho??
Sure kuna muda unajutia kumvulia Mtu fulani chupi ila ndio huna namna unabaki kuumia na nafsi yako tu!

Hivi Insaida alikua wa kumpiga Chini Priska???!!

Mapenzi ni hekaheka kiukweli!

Wrong quote sorry. Nilikuwa najibu jamaa aliyeomba ushauri somewhere
 
Acha leoo niishiee hapa nitarudii[emoji124]
 
Ninatabiri bwana INSIDER MAN hataki huu uzi hupoe kwahiyo kuna uwezekano hii story itaenda mpk mwakani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa hapo anafeli sana anamkaziaje kiasi hicho??
Sure kuna muda unajutia kumvulia Mtu fulani chupi ila ndio huna namna unabaki kuumia na nafsi yako tu!

Hivi Insaida alikua wa kumpiga Chini Priska???!!

Mapenzi ni hekaheka kiukweli!
Kumbe mikasi na mitungi kama yote
 
daaaah! We jamaa, naona umeamua kujishitaki mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…