suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Nimecheka hahahahKuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Sasa kwanin zimetengenezwa ?? Zitavaliwa na kina nani Kama siyo wanawakeMwanamke unavaaje chupi nyeusi?
Sasa nawewe Tupogigwe Mwakalindile na ile kitambi yako unavaa hivi!??Sibishani na washamba
Wazaramo ndio wenyeji wa Dar?Wenyeji hapo Ni wazaramo bhna of which hawana madhara yoyote
The rest wote Ni wahamiaji haramu walio toka pande zote za nchi hi [emoji23] kutafuta fursa na michongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa ila jf jamaniKuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Hapo wa kushtakiwa ni wewe unayeiba na kuuza story ambayo hujaitolea jasho.Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Itakuwa bado upo na wenge la ban mkuu [emoji23][emoji23]
Ban ile ya uonevu, ila maisha yanaendelea.Itakuwa bado upo na wenge la ban mkuu [emoji23][emoji23]
Hivi kumbe kuna ban za uonevu?Ban ile ya uonevu, ila maisha yanaendelea.
Yan nilitagiw kwenye uzi hata kuusoma sikuusoma. Sheikh mimi ni mtu wa AmaniHivi kumbe kuna ban za uonevu?
Imeisha hiyo mkuu, karibu sasa tuendelee kuchangamsha majukwaaYan nilitagiw kwenye uzi hata kuusoma sikuusoma. Sheikh mimi ni mtu wa Amani
Uonevu ila maisha yanaendelea
Wacha maneno poti.... weka vitu mezani tuendelee kunyonya!!!....Mkuu mimi kama Manager nina haki ya kuwatetea vijana wangu, huwezi kumsimamisha kazi mtu bila utaratibu wa barua, ni sheria ya wapi hii?. Kwenye kampuni masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth yeye hapaswi kuyaingilia, alimsimamisha Sumaiya lakini hakumwambia mama Janeth, kwanini?.
Wewe unasoma story unaona Iryn kama ni humble sana ila alikuwa anazingua sana, na mimi sikuwahi kumkaripia zaidi ya kumchana ukweli. Alifanya hayo sababu ya hasira na wivu na maneno alokuwa anajazwa na Rebby.
Sumaiya ni mchapa kazi sana, kampuni ya usafi inakimbiza balaa kwasasa mpaka tender za serikali wanapata.
CEO huwezi mfukuza mtu kazi bila kukaa chini na Manager na mkajadili, na kwa upande wangu ningeonekana ni weak.
Kumpsy mtu kwa njia ya third party ni umbeya hakuna ukweli utakaopata maana Rebby naye alikuwa kimaslahi zaidi pia alikuwa hapatani na Sumaiya.
Mkuu! Hiyo ni nadharia na ina mipaka! Hapa haitumiki!Punguza umama ...wanawake wanapenda sana hiyo kitu na wakiona hivyo nafsi zao hutulia na kujiona wanawanaume
F ....you...Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Master WAPEKEYE hebu kuwa serious kidogo. umeamua kumchana InSIDER MAN ukweli bila kupepesa kama alivyomfanyia bosslady! nakupa ushauri wa kutunga muendelezo huko whatsapp ili uendelee kula pesa. After all, hadi EP64 umeshamfahamu Insider man na uelekeo wake katika hii Thread. just drive onKuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
👆This man is just joking😁 wala msimshambulie kwa maneno makali. Jaribu kufikiria angekuwa anaingiza pesa kupitia hii simulizi je angeropoka kiasi hicho!!Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.