Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Lazima aumie hata kama they were friends...Kushea kusikie kwa jirani tu!!
Na urafiki lazima uishe sijajua moyo wa mama J japo kwa story anaonekana ana Wivu sanaa!!

Iryn mkeka umetiki 100%

Hawa sijui atafanikiwa kuwa kwepa

Marry akisapotiwa na Jane
Sumaiya
Asma anaamini insideer ni wake hajui yupo na boss lady



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iryn mkeka umetiki 100%

Hawa sijui atafanikiwa kuwa kwepa

Marry akisapotiwa na Jane
Sumaiya
Asma anaamini insideer ni wake hajui yupo na boss lady



Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pa kuwapanga ndio sipapendiiiiiii! Kama ameamua kuwa na Iryn aachane nahivo vicheche vingine anamkosea sana Iryn kutoka nahao watoto as mwanamke mzuri mrembo muelewa is there for him!
 
Performance ikishuka kwa bed hata uwe Beyonce utatafutiwa mbadala
 
Hiii sindano kavu afu imepenya hii[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mama junior ashajihakikishia ndoa so mambo mengine ahangaiki nayo


Ndio maana mwamba katafuta kipoozeo
 
Kauelewa mzikiiiiii chezeiyaaaa kukojozwa weeweeee!!
Afu avokazwa ndio dizain kawehuka kabisa na penzi la baba J hahahaaa!!

Japo nilifurahia Iryn kuliwa just once ila Poor Mama J nimeumiaaa avosalitiwa jamani dahh!!
Hainaga makombo,halafu isitoshe jamaa amesaliti ili kuweka imara misingi ya kiuchumi kwa ajili ya familia yake hapo baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…