Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kukujoin japo kwa kidogo, tunaweza fanya jambo pamoja if possible,Amina mkuu December na ratiba za kwenda Kutembelea watoto yatima, [emoji120]
Lazima aumie hata kama they were friends...Kushea kusikie kwa jirani tu!!
Na urafiki lazima uishe sijajua moyo wa mama J japo kwa story anaonekana ana Wivu sanaa!!
Hapo pa kuwapanga ndio sipapendiiiiiii! Kama ameamua kuwa na Iryn aachane nahivo vicheche vingine anamkosea sana Iryn kutoka nahao watoto as mwanamke mzuri mrembo muelewa is there for him!Iryn mkeka umetiki 100%
Hawa sijui atafanikiwa kuwa kwepa
Marry akisapotiwa na Jane
Sumaiya
Asma anaamini insideer ni wake hajui yupo na boss lady
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Iryn anasaidia wasio jiweza yatima wagonjwa na wakina mama wenye uhitajiIla hao wanakijiji kama nawaona vile waliona kama Malaika amewashukia [emoji28][emoji28][emoji28]
Iryn na mie ni maskini nipo huku kijijini naomba kamilioni tu [emoji9]
Umeongea kwa uchungu kama we ndio Iryn vile aisee poleHapo pa kuwapanga ndio sipapendiiiiiii! Kama ameamua kuwa na Iryn aachane nahivo vicheche vingine anamkosea sana Iryn kutoka nahao watoto as mwanamke mzuri mrembo muelewa is there for him!
Kushea kusikie kwa jirani tu mkuu! Ni ussshuuuuunguuuuuu uliojeeee!;
Upendo wa kweli hutoka moyoni siku ukijua mwenza wako kachepuka maumivu utayopata pamoja na hasira huwa hayaelezeki unajiona si chochoteKushea kusikie kwa jirani tu mkuu! Ni ussshuuuuunguuuuuu uliojeeee!;
Upendo wa kweli hutoka moyoni siku ukijua mwenza wako kachepuka maumivu utayopata pamoja na hasira huwa hayaelezeki unajiona si chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Performance ikishuka kwa bed hata uwe Beyonce utatafutiwa mbadalaNoumaaa nanusuuuu cousin... Dyudyu hainaga ubosiii[emoji1783][emoji1783][emoji23]!
Bossi lady kauelewa mziki mnenee wa mwambaa hahahaaa... !
Sema wanaume hawaridhikagi uduguuu!
Pamoja na kuwa na Mtoto mkaree clasyy afu smart full mapenee unaeza shangaa akahangaika na kina sumaiya mcharuko!
Wanaume [emoji119][emoji119][emoji119]!
Kumbe ulitoa email? Nipe na mimi ni pm hapaBro ndo nimeingia mjini leo, nitazipitia kesho afu nitakurudia ndugu yangu
Effect ndio kama zile za kumsimamisha kazi Sumaiya sasa ni zamu ya Asma kusepa mazimakabisa mkuu na effects zake ni za taratibuuu ila mbaya sana kwa sisi wanawake!
Hiii sindano kavu afu imepenya hii🤠🤠🤠🤠!Performance ikishuka kwa bed hata uwe Beyonce utatafutiwa mbadala
Huyu anaonekana mcharuko macho juu juu sana huyu afu artificial sana( Joking)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiii sindano kavu afu imepenya hii[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!
Pisi kaliHuyu anaonekana mcharuko macho juu juu sana huyu afu artificial sana( Joking)
Hainaga makombo,halafu isitoshe jamaa amesaliti ili kuweka imara misingi ya kiuchumi kwa ajili ya familia yake hapo baadaye.Kauelewa mzikiiiiii chezeiyaaaa kukojozwa weeweeee!!
Afu avokazwa ndio dizain kawehuka kabisa na penzi la baba J hahahaaa!!
Japo nilifurahia Iryn kuliwa just once ila Poor Mama J nimeumiaaa avosalitiwa jamani dahh!!
Minyama yote hii na kifua kimeshikamana na shingo ndo useme ni Iryn! Usitugombanishe na @insiderman
Yeahhh she's very beautiful!!Pisi kali