Nyingine ni long term effects zinakuja kuonekana late sana na mwanamke akipoteza hisia nawewe Alooooooohh 🙌! Ngumu sana kuzirudisha ! Hata umsisimuajeee anaweza akakuona kama nguruwe tu hataaa hasisimki sema Ndoivo wanaume mna vipozeo kila kona huko ndio mnaponea!Effect ndio kama zile za kumsimamisha kazi Sumaiya sasa ni zamu ya Asma kusepa mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa!!Minyama yote hii na kifua kimeshikamana na shingo ndo useme ni Iryn! Usitugombanishe na @insiderman
😂😂😂😂😂🤝 dah saa saba hii nimechekaTena hawa kama unawezana nao, safi kabisa.
Hawana stress mkuu.
Changamoto yao, wakisikia mtu anaburuza panga nje hesabu vita ni ya kwako peke yako asee. Wao kelele tu mkuu.
Na mimi huwa simuanini mwanaume yyt kwa mke wangu,never ever....Akii usimuamini mwanamke yoyote na mume wako....lesson learnt
Hana baya baba J😂Baba j Hana uchoyo na kitu yake kesho anaenda kumgaia na sumaiya na yule mwingine
Ila nmependa bosslady Ana utu sana
Insider sio mwaminifu,sio mkwel na pia sio mchapakazi,ipitie vizur simulizi utaelewaINSIDER anayo mambo fulani anayoyafanya kitu kinachopelekea kuonekana kuwa ana bahati na kibali cha kukubalika na watu wengi.
UAMINIFU
UKWELI
KUTOKUJIKWEZA
UCHAPAJI KAZI ULIOTUKUKA.
Yeyote anayeweza kufanya haya lazima atakutana na bahati na kibali cha kukubalika.
Kuna watu wanaumia kwa kujua kwamba INSIDER katoka huko mkoani kaja Dar kusoma na sasa anasumbua kuliko hata wenyeji.
Aiseeee mbona umeweka sura yangu mtandaoni bila idhini yangu? Mi ndio huyu mzee hapa mwenye suruali ya damu ya mzee na koti. Usiweke picga yangu bila idhini yangu.Hii ni moja ya picha niliyochukua huko MondoView attachment 2781992
Huyo mzee ni mimi. Jamaa alinipiga picha bila ridhaa yangu. Nataka nimshtaki nami Nile pesa za Irine.😀😀😀View attachment 2782263
Naona INSIDER uliamua kupiga troza damu ya mzee
Ni kweli kabisa mkuu, mimi kupitia hii story nilijua ntaji prove wrong na assumptions zangu(iryn hataliwa na the man himself) kumbe sasa its comfirmed na nimejifunzaNa mimi huwa simuanini mwanaume yyt kwa mke wangu,never ever....
Kuna matukio mawili kwa bro angu (mtt wa uncle) yalinipa somo kubwa kwamba nisije nikaamini eti mke anaeza kuwa na ukaribu na mwanaume either kibiashara,ujirani,cjui kazini,mambo ya dini vikoba nk,...
Hao wanaliana timing tu,watakulana tu na hutaamini,na vile wanawake mna huruma ndo balaa zaidi,mtu akikusumbua sana eti unaona umpee mara moja tu kwa kumhurumia anavyoteseka na ukijiapisha kuwa hutarudia tena,matokeo yake mnakulana every week in years..kudadeki zenu mtombanao na wake/waume za watu.
wengine hawako kama ww, kuna tour guider mmoja alikutana na mama mjane wa kizungu yuko loaded kiquma yaani, mama akamwelewa mwamba na akamchana live anataka kuwa naye, mwamba ana mke mchaga, akaenda akamuuzia mke mchongo, mke akamuuliza kwan anatala umuoe, mume, hapana anataka tu mahusiano, mke, una uhakika ana hela? Mume, mke wangu yule mzungu ana hela kiquma, mke, imeisha hyo, babaa nenda kalete hela acha ufala,Kwa moyo wangu mimi na venye naridhikaga na shida zangu asee nisingekubaliii hakuna mwanamke anaefurahia kushea mume, hakunaa!
Hasa mume anaejielewaaaa weeeeh!!
Huyo kwenye picha ni VIXEN kwenye video za wasanii mbalimbali. Ni MSAUZI huyu.IRENE....., Code zishafunguka au nitaje mpaka jina lake...., ofisi zake....., Na kwa hyo Bi mkubwa wake ambaye now hayupo TZ[emoji28][emoji28]View attachment 2781966
Ka yaani ukiangalia hao ni weng dadeq ....na wanajua jamaa yupo kwenye ndoa ule msemo hakunaga urafiki wa karibu baina ya jinsia mbili nauelewa hapaIryn mkeka umetiki 100%
Hawa sijui atafanikiwa kuwa kwepa
Marry akisapotiwa na Jane
Sumaiya
Asma anaamini insideer ni wake hajui yupo na boss lady
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww nawe sikuelewi upo upande ganii😂😂 unalalamika kushare ni kubaya kunaumiza Sana. ....bado unataka atulie na Iryn aachane na Iryn which is whichHapo pa kuwapanga ndio sipapendiiiiiii! Kama ameamua kuwa na Iryn aachane nahivo vicheche vingine anamkosea sana Iryn kutoka nahao watoto as mwanamke mzuri mrembo muelewa is there for him!
Mie team kubaki njia kuu bestie ila Iryn ndie main character of the story mwanamke wa ajabu aliempata kutoka biznee ya uber sa ntafanyeje🤔! Acha tu achukue chombo Iryn !Ww nawe sikuelewi upo upande ganii😂😂 unalalamika kushare ni kubaya kunaumiza Sana. ....bado unataka atulie na Iryn aachane na Iryn which is which
Kumbe tupo Wengi [emoji1]Yan ukianza kuleta story za mama wawili hua naruka kusoma.