Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Effect ndio kama zile za kumsimamisha kazi Sumaiya sasa ni zamu ya Asma kusepa mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine ni long term effects zinakuja kuonekana late sana na mwanamke akipoteza hisia nawewe Alooooooohh 🙌! Ngumu sana kuzirudisha ! Hata umsisimuajeee anaweza akakuona kama nguruwe tu hataaa hasisimki sema Ndoivo wanaume mna vipozeo kila kona huko ndio mnaponea!
 
Akii usimuamini mwanamke yoyote na mume wako....lesson learnt
Na mimi huwa simuanini mwanaume yyt kwa mke wangu,never ever....
Kuna matukio mawili kwa bro angu (mtt wa uncle) yalinipa somo kubwa kwamba nisije nikaamini eti mke anaeza kuwa na ukaribu na mwanaume either kibiashara,ujirani,cjui kazini,mambo ya dini vikoba nk,...
Hao wanaliana timing tu,watakulana tu na hutaamini,na vile wanawake mna huruma ndo balaa zaidi,mtu akikusumbua sana eti unaona umpee mara moja tu kwa kumhurumia anavyoteseka na ukijiapisha kuwa hutarudia tena,matokeo yake mnakulana every week in years..kudadeki zenu mtombanao na wake/waume za watu.
 
INSIDER MAN, nijuze kuhusu hii kauli yako "maggy aliamua kuchagua nyumba iliyo upande wa chini", unamaanisha nyumba ya ni ya
 
INSIDER anayo mambo fulani anayoyafanya kitu kinachopelekea kuonekana kuwa ana bahati na kibali cha kukubalika na watu wengi.
UAMINIFU
UKWELI
KUTOKUJIKWEZA
UCHAPAJI KAZI ULIOTUKUKA.
Yeyote anayeweza kufanya haya lazima atakutana na bahati na kibali cha kukubalika.
Kuna watu wanaumia kwa kujua kwamba INSIDER katoka huko mkoani kaja Dar kusoma na sasa anasumbua kuliko hata wenyeji.
Insider sio mwaminifu,sio mkwel na pia sio mchapakazi,ipitie vizur simulizi utaelewa
 
Mi huu uzi wala sio mpenzi wa kuufuatlia kiviiiile ila kwa upande mwingine nimesoma episod zote neno kwa neno bila kuacha hta comment ya mtu mmoja pamoja na kutokuwa na mpenzi na huu uzi ila malizia tu zilizobakia
 
Na mimi huwa simuanini mwanaume yyt kwa mke wangu,never ever....
Kuna matukio mawili kwa bro angu (mtt wa uncle) yalinipa somo kubwa kwamba nisije nikaamini eti mke anaeza kuwa na ukaribu na mwanaume either kibiashara,ujirani,cjui kazini,mambo ya dini vikoba nk,...
Hao wanaliana timing tu,watakulana tu na hutaamini,na vile wanawake mna huruma ndo balaa zaidi,mtu akikusumbua sana eti unaona umpee mara moja tu kwa kumhurumia anavyoteseka na ukijiapisha kuwa hutarudia tena,matokeo yake mnakulana every week in years..kudadeki zenu mtombanao na wake/waume za watu.
Ni kweli kabisa mkuu, mimi kupitia hii story nilijua ntaji prove wrong na assumptions zangu(iryn hataliwa na the man himself) kumbe sasa its comfirmed na nimejifunza
 
Kwa moyo wangu mimi na venye naridhikaga na shida zangu asee nisingekubaliii hakuna mwanamke anaefurahia kushea mume, hakunaa!
Hasa mume anaejielewaaaa weeeeh!!
wengine hawako kama ww, kuna tour guider mmoja alikutana na mama mjane wa kizungu yuko loaded kiquma yaani, mama akamwelewa mwamba na akamchana live anataka kuwa naye, mwamba ana mke mchaga, akaenda akamuuzia mke mchongo, mke akamuuliza kwan anatala umuoe, mume, hapana anataka tu mahusiano, mke, una uhakika ana hela? Mume, mke wangu yule mzungu ana hela kiquma, mke, imeisha hyo, babaa nenda kalete hela acha ufala,
 
Iryn mkeka umetiki 100%

Hawa sijui atafanikiwa kuwa kwepa

Marry akisapotiwa na Jane
Sumaiya
Asma anaamini insideer ni wake hajui yupo na boss lady

Sent using Jamii Forums mobile app
Ka yaani ukiangalia hao ni weng dadeq ....na wanajua jamaa yupo kwenye ndoa ule msemo hakunaga urafiki wa karibu baina ya jinsia mbili nauelewa hapa
 
Hapo pa kuwapanga ndio sipapendiiiiiii! Kama ameamua kuwa na Iryn aachane nahivo vicheche vingine anamkosea sana Iryn kutoka nahao watoto as mwanamke mzuri mrembo muelewa is there for him!
Ww nawe sikuelewi upo upande ganii😂😂 unalalamika kushare ni kubaya kunaumiza Sana. ....bado unataka atulie na Iryn aachane na Iryn which is which
 
Ww nawe sikuelewi upo upande ganii😂😂 unalalamika kushare ni kubaya kunaumiza Sana. ....bado unataka atulie na Iryn aachane na Iryn which is which
Mie team kubaki njia kuu bestie ila Iryn ndie main character of the story mwanamke wa ajabu aliempata kutoka biznee ya uber sa ntafanyeje🤔! Acha tu achukue chombo Iryn !
 
Back
Top Bottom