Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Una balaa kama mrembo wa ajabu ....hii kozi masters yake umechukua wapi
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣
 
Apa maana nna tafakari huu uzoefu ni mdogo......ngoja upate PhD si itakuwa balaaaa 😂😂
 
IRENE....., Code zishafunguka au nitaje mpaka jina lake...., ofisi zake....., Na kwa hyo Bi mkubwa wake ambaye now hayupo TZ[emoji28][emoji28]View attachment 2781966
✅ hii code imefunguka!...

Ni mwenye kuwaza kwa jicho la tatu ATAJUA!....Huyu ni Irene!

Nilishawahi ku-connect dots kwenye story ya jamaa mmoja alikuwa akiitwa The bold humu...

Nikamtajia mpaka majina yake matatu, shule aliyosoma, anapoishi... na anapofanya kazi....

Jamaa alinifuata inbox tukaonana ana kwa ana
.. hakuamini!...

Alinibana sana nimwambie nimewezawezaje!?... Hadi leo Huwa nikimkumbusha Huwa tunacheka saana...

Alisema ...."nilidhani mimi ni perfect kwa vitu vingi sana, nasoma vitu vingi mno...na niko deep kuliko wengine... ila nimekuvulia kofia chief"
 
Apa labdah Mary ndoo ananipa wasiwasi .....awa wengine wapo kwenye system Asmah anapenda kazi yake,,, Sumaiya yupo sehemu nyingine na Vicky sister wake Jane ana mlinda balaaaa
Asmah ni mchepuko wa siri Rebeca alikuwa ana wa spy kumbuka alipewa iPhone kwa ajili ya kuwa spy insideer Sumaiya na Asmah

Marry anaumia insideer kamtenga ndio kinacho muumiza hata Jane kashaliona hilo ndio maana kaamua kumsapoti

Sumaiya kapelekwa kampuni ya usafi kaongezewa mshahara hapo anaamini insideer ndio kafanikisha na anajiweka karibu naye akiwa amepania kumtunuku

Insideer hapa sijui atapangaua vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mwenye maamuz ni insider ya kuwacontrol ngoja tusubiri muendelezo
 
Maoni yangu...

1.Kimaadili ni tabia isiyokubalika kabisa, sidhani kama Mtu ukiwa na akili timamu unaweza kula au kukubali kuliwa mtu aliyekula Dada na Mdogo mtu.

2.Kiimani - viungo vya uzazi vinapokutana maana roho za wawili zinaungana, sasa jiulize unayezini naye ana roho ya aina gani, kama ana roho ya mafanikio fresh jichanganye ubebe roho ya mikosi ndio shida itakapoanzia.

3.Kiafya - kitendo cha kukutanisha via vya uzazi inaweza pelekea kupata magonjwa ya kuambukiza, mbaya zaidi jamaa anaonekana ni Mzee wa kavukavu, sasa wewe mfuate jamaa uyavae magonjwa yasiyotibika.

4.Kikawaida - imeonyesha jinsi akili za baadhi ya kina dada zilivyo finyu, tizama Iryn kajua jamaa ana mke, kajua jamaa anatoka na Sumaiya, kajua jamaa alimtia mtu mimba still na yy anaingia humohumo, huu ni ukichaa narudia kusema hata kama moyo unapenda narudia kusema ni ukichaa.
 
A lesson of how to twist a real story into fictional one
 
Mi nimeshaanza kumchukia Jane anavyomshawishi amkule Mary mtu keshamwambia ametembea na mdogo wake halafu bila aibu anamwambia we mkule tu, wanawake wengine sijui wakoje[emoji57][emoji57]
Marry kampenda Insideer tangua mwanzo baada ya kujua wanamahusiano na Prisca nadhani hili lilimuumiza na akanyamaza anakitu moyoni anashindwa kumfungukia hili Jane kaliona na kumuambia Insideer hapa sijui atapangua vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo unamwambiaje Insider kuwa analelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana Mkuu nimekoment kiujumla nikisema Inapendeza zaidiii ad a man kuprovide si kwamba nilimlenga yeye!
 
Kak Sasa hyo kujuwa Ni wapi itasadia nn kwenye story alfu wee Ni bonge moja la mshamba Basi tu hujijui kuwa Ni mshamba sna kupiga picha na Kisha kuhoji hapa HV Ni wapi ?😏 Ni akili unazo au matope umejaza kichwani


Kwanza maliza story yako acha kujifanya unafanya review kila siku ili tu kufikia malengo yako uliyopanga na sijui unapata faida gani kuchelewesha hi chai yako ,kma Ni umaharufu Bado Sana hutapata Happ jamii forum kuwaziid kina mshanna , gentamycine ,pascal na wengine kadhaa ila wewe Bado Sana utakaa Sana Hadi upate umaharufu Kam kina umughaka
 
Wazungu wa Arusha ndio zao wanakupa mtaji umpe mke wako alaf umuachie mme
 
Maisha ukiyachekea yanakuchekea, mtu akisinzia chukua nafasi. Maana hata alivyoiacha nafasi kuna mtu mwingine atakuja kuichukua that is how life is. Maisha inabidi uwe flexible na ukubali kuna muda hautokuwepo hapo ulipo.
Acha kuandika upumbafu hadharini kjna
 
Kuna watu Wana bahati ya kupendwa kwenye hii dunia nyie acheni tu!!

Laiti ningepewa nafasi Moja ya kuchagua nikitakacho kwa hii dunia...

Basi ningechagua nafasi ya INSIDER MAN bahati ya kupendwa kulikotukuka na hao viumbe...

Magari, fedha na takataka za kufanana na hizo, umaarufu...n k.....Ningewaachia nyinyi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…