Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Kabisaaa mkuuKikubwa tunaburudika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa mkuuKikubwa tunaburudika
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣Una balaa kama mrembo wa ajabu ....hii kozi masters yake umechukua wapi
Apa maana nna tafakari huu uzoefu ni mdogo......ngoja upate PhD si itakuwa balaaaa 😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣
✅ hii code imefunguka!...IRENE....., Code zishafunguka au nitaje mpaka jina lake...., ofisi zake....., Na kwa hyo Bi mkubwa wake ambaye now hayupo TZ[emoji28][emoji28]View attachment 2781966
Asmah ni mchepuko wa siri Rebeca alikuwa ana wa spy kumbuka alipewa iPhone kwa ajili ya kuwa spy insideer Sumaiya na AsmahApa labdah Mary ndoo ananipa wasiwasi .....awa wengine wapo kwenye system Asmah anapenda kazi yake,,, Sumaiya yupo sehemu nyingine na Vicky sister wake Jane ana mlinda balaaaa
Hizo ziko kilosa huko pia nishafika na kuishi kabisa likizo za Darasa la 1 2 3 nimekaa sana ilongaUmesahau hadi ilonga,kimamba,mtende na cotc
Ila mwenye maamuz ni insider ya kuwacontrol ngoja tusubiri muendelezoAsmah ni mchepuko wa siri Rebeca alikuwa ana wa spy kumbuka alipewa iPhone kwa ajili ya kuwa spy insideer Sumaiya na Asmah
Marry anaumia insideer kamtenga ndio kinacho muumiza hata Jane kashaliona hilo ndio maana kaamua kumsapoti
Sumaiya kapelekwa kampuni ya usafi kaongezewa mshahara hapo anaamini insideer ndio kafanikisha na anajiweka karibu naye akiwa amepania kumtunuku
Insideer hapa sijui atapangaua vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maoni yangu...Nami nichangia kwa kuomba ushauri kidogo.
Hii incidence ya Mary kumpenda INSIDER MAN kimapenzi ilhali akijua kuwa jamaa ameishakuwa na mahusiano na mdogo wake wa kuzaliwa tumbo moja kimaadili imekaaje wakuu?
Mimi sio kama INSIDERMAN ila ninakabiliwa na changamoto ya dada mtu kunitaka kimapenzi wakati nilishakuwa na mahusiano na mdogo wake hapo kabla. Kwa sasa hatuko pamoja ingawa bado anaonyesha
Boya tu mie!Apa maana nna tafakari huu uzoefu ni mdogo......ngoja upate PhD si itakuwa balaaaa 😂😂
A lesson of how to twist a real story into fictional oneMkuu sasa ngoja turudi kwenye kikao chetu cha dharura na INSIDER MAN...
Mwanamke yeyote ukishazoeana naye kwa kiwango kama ambacho yeye na Genevieve wamezoeana, huwa wanapenda kujua mipaka ya mazoea...
Ukimuonesha kuwa unampenda na kumtamani halafu unachelewa kufunguka, atakusubiri kidogo na ukichelewa zaidi ataendelea na mishe zake (lakini utaendelea kusalia moyoni tu)...
Sasa ndugu yetu kulingana na simulizi lake, bado hajaweka bayana kwa Genev...kwamba mahusiano yao mengine nje ya kazi yaweje na uzuri ni kwamba bibiye kampa chances kibao za kufanya hivyo tokea wanashinda wote enzi za apartments za Kijitonyama mtaa wa Grandvilla...
Katika hali waliyofikia hapo pa huyo bibiye kukasirika, sio kwamba kakasirika INSIDER MAN kuwa na mchuchu tofauti na Mama J, ila kilichomuudhi ni kwamba huyo mchuchu si yeye bali ni Prisca...
So Insider man kama atapata nafasi ya kuongea na Genevieve tena, kitu pekee anachoweza kufanya ni kufunguka kwake kwamba muda wote mtu aliyekuwa moyoni ni yeye isipokuwa aliona kama angeweza kuharibu uhusiano wao endapo angemfungukia na hakuwa tayari kuumiza moyo wake...
Pia amwambie kuwa yeye na Prisca walishaachana (amkandie kimtindo Prisca lakini sio ile sanaaaa)...
Marry kampenda Insideer tangua mwanzo baada ya kujua wanamahusiano na Prisca nadhani hili lilimuumiza na akanyamaza anakitu moyoni anashindwa kumfungukia hili Jane kaliona na kumuambia Insideer hapa sijui atapangua vipiMi nimeshaanza kumchukia Jane anavyomshawishi amkule Mary mtu keshamwambia ametembea na mdogo wake halafu bila aibu anamwambia we mkule tu, wanawake wengine sijui wakoje[emoji57][emoji57]
Unaupiga mwingi mkuu sio kwa mwezeree huo kati mfereji kama wotreee!
Hapo ndio nasubiri kuona insideer alichanga vipi karata kwa warembo haoIla mwenye maamuz ni insider ya kuwacontrol ngoja tusubiri muendelezo
Hapana Mkuu nimekoment kiujumla nikisema Inapendeza zaidiii ad a man kuprovide si kwamba nilimlenga yeye!kwahiyo unamwambiaje Insider kuwa analelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah lets wait and see!Hapo ndio nasubiri kuona insideer alichanga vipi karata kwa warembo hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wa Arusha ndio zao wanakupa mtaji umpe mke wako alaf umuachie mmewengine hawako kama ww, kuna tour guider mmoja alikutana na mama mjane wa kizungu yuko loaded kiquma yaani, mama akamwelewa mwamba na akamchana live anataka kuwa naye, mwamba ana mke mchaga, akaenda akamuuzia mke mchongo, mke akamuuliza kwan anatala umuoe, mume, hapana anataka tu mahusiano, mke, una uhakika ana hela? Mume, mke wangu yule mzungu ana hela kiquma, mke, imeisha hyo, babaa nenda kalete hela acha ufala,
Acha kuandika upumbafu hadharini kjnaMaisha ukiyachekea yanakuchekea, mtu akisinzia chukua nafasi. Maana hata alivyoiacha nafasi kuna mtu mwingine atakuja kuichukua that is how life is. Maisha inabidi uwe flexible na ukubali kuna muda hautokuwepo hapo ulipo.
SAS hiki kitu inasadia ni kuleta hapa au ili ujulikana unafahamu sna mitaa ya jiji la DSM acha ushamba dogoWale wa Daslam hapa ni wapi?
View attachment 2782772