Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Katika hii Hadithi ni simple sana LU-DECODE, Baadhi ya taarifa :-

1.Jina la Saloon ndio ilikuwa ni code kubwa ya kwanza
2.Mwandishi mwenyewe
3.Mzee Pama
4.Ugonjwa na Hospital aliyolazwa Pama
5.Kama Saloon ipo maana code ya Iryn simple kuifungua
6.N.k n.k n.k

Otherwise, tuendelee kusoma utunzi wa Kijana mwenzetu.
 
Wazungu wa Arusha ndio zao wanakupa mtaji umpe mke wako alaf umuachie mme
mwamba bado yupo na mke wake, wapo vzuri sana kimaisha, mke huwa anasema hajawai kujuta kumruhusu mumewe kuchepuka na mzungu, jamaa huwa anasafiri ulaya huko kwenda kumkuna mama mjane na mke wala hana shida, ukimpelekea umbea eti mume wake yko na mzungu anakuambia unadhani siju, unadhani ningekuwa na haya maisha mume wangu asingekuwa na mzungu? huyo dada huwa anafurahisha sana yaani.
 
SAS hiki kitu inasadia ni kuleta hapa au ili ujulikana unafahamu sna mitaa ya jiji la DSM acha ushamba dogo

Ni mesha kuoana mshamba sna Basi unajisifiaga uomekane mjanja kumbe Ni bonge la kiazi
duuu, kwenye mshono kabisa, taratibu mkuu.
 
Idea nzuri, episode zilizobaki mtalipia bhasi[emoji23][emoji23]
Hakuna neno mkuu hata kwa subscription kwa njia ya Instagram Kama wanavyofanya akina Mange mtu analipiza anasoma saafi kwa pesa piga hao million 2 wakilipa milioni 1 una shida gani pia utabuni vitu vingine Kama muendelezo nakuaminia Sana kwa kipawa hiki na utatupata sana
 
Ndugu insider alituahidi kuwa kila weekend yani ijumaa,jmosi na jpili atakua anaachia epsode moja moja ila naona tangu last week tunapewa vipamde vya kuunga unga…. Mkuu tujuze kama kuna changes ili tusiwe tunakuja kuchungulia kila muda kama kuna new epsode
 
Hii coment ngoja niipige lamination kabla haijaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extract hizi episodes, kuna site nzur za kupost kama pdf then unauza kila episode 500. Wanunuaji waswahili kabisaaa wasoma story za magazeti.
Ebu mwelekeze Nini afanye ili tuanze kulipia Mana kafanya kazi kubwa sana why aishie tu mikono mitupu?pia hata Hawa JF watu Kama Hawa wenye kuvuka viwango hivi wangekuwa wanawafikilia Mana kupitia kwao hata wao wanaingiza kitu.Mbonq ni simple wanamcheki wanamlipa anapata motisha sema Melo Dizaini Kama mchumi hivi
 
Aiseeee kaka naomba Shindwaa kabisa Yaani mtu anapewa mawazo ya kumsaidia kupitia uwezo wake binafsi wewe hutaki.Eeeeh Mungu tuepushe na Watu wenye moyo Kama Hawa.Anataka insider asifaisike na chochote mbona hukuwashauri akina shingongo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…