Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mimi kama team mama J, nilikuwa nasubiri sana insider ampige chini Prisca.
Baada ya Prisca kupigwa chini mpinzani mpya aliyeingilia pambano Hadi naogopa aisee[emoji24][emoji24][emoji24]
Hapa mama j ye mwenyewe lazima aungane tu na adui wake
 
Hawa sio wa kuwaombea hawa ni wa kuwapaka mafuta
 
Aiseeee kaka naomba Shindwaa kabisa Yaani mtu anapewa mawazo ya kumsaidia kupitia uwezo wake binafsi wewe hutaki.Eeeeh Mungu tuepushe na Watu wenye moyo Kama Hawa.Anataka insider asifaisike na chochote mbona hukuwashauri akina shingongo??
Angelikuwa na huo mpango kuanzia mwanzo angeanza kama hivyo, lakini lengo lake ni watu wajifunze kupitia yeye na siyo kutajirika kama wengi wenu mlivyo na roho za kimaskini humu,
 
Sasa yote haya ya nini...? Kama kuna kitu kakunyima si unatulia tu.
 
Ukisha fanya hivyo inakusaidia nini....? Hii inadhihirisha hauna kazi za kufanya. Halafu kwa mtoto wa kiume this isn't normal bro
 
Nilikuwa nasubiria comment kama hiiya kikuda...
Ukishafanya hivyo inakusaidia nn? - Just for fun.

Tunaweza ku-reveal identity zetu Mimi Na wewe (Miles 45) hapa jamvini then tuone nani hana Kazi ya kufanya. Usia-aasume kila aliyenyuma ya keyboard/Simu HANA KAZI kufanya.

This isn't normal under which circumstances? Just try to explain then we can begin discussions from that end.
Ukisha fanya hivyo inakusaidia nini....? Hii inadhihirisha hauna kazi za kufanya. Halafu kwa mtoto wa kiume this isn't normal bro
 
Hawa ni wale wenye stress debe zima,unakuta hapo moja haikai wala 2
 
Hawa ni wale wenye stress debe zima,unakuta hapo moja haikai wala 2
Sijaelewa comment yako..

Ila, ninachoelewa JF platform ambapo kuna some interesting FACTS na Fun FACTS. Most of stories huwa zinapostiwa na kusomwa na wadau just for FUN..Sasa kuna wengine ni shida, ukitoa mawazo yako wanaona kama una-criticise mwandishi, wanasahau hata kuna baadhi ya episodes MUHUSIKA anaweka picha kujaribu kutoa CODES.

Sasa kusema kwa story inavyoenda ni simple kutoa CODES inakuwa nongwa.

Tena nashangaa huyu anayejaribu kuni-challenge ameingia JF 2018. Ni shiiida.
 
Mwanamke kukuambia No mahali ambapo unaona kabisa ilitakiwa iwe yes huo ni mtego.

Mwanamke kukupa mbususu mara moja then akakustopisha huo ni mtego .

Mwanamke kukushobokea alafu akakata gafla huo ni mtego

Na ili kutegua mitego hiyo na unashida nae basi cheza game kama alivyo icheza na muache asukume kete yeye.

Ukijifanya unaakili nyingi sana unataka kumu win niamin mimi utampoteza mazima na kama alikupa utelezi hiyo once basi itabaki hivyo

Na hii mbinu kijana wetu Maguire anaitumia sana ila sema kwenye finishing bado haja master vizuri
 
Apa labdah Mary ndoo ananipa wasiwasi .....awa wengine wapo kwenye system Asmah anapenda kazi yake,,, Sumaiya yupo sehemu nyingine na Vicky sister wake Jane ana mlinda balaaaa
Oooh...! Asmah tayari alishapita nae. Sio lazima akuambie kila nukta,jiongeze. Huyo Vicky hakuna cha dadaake kumlinda. Dadaeke nae atafurahi akisikia Vick ameshaliwa na jamaa. Marry ataliwa kesho kutwa
 
Mi nimeshaanza kumchukia Jane anavyomshawishi amkule Mary mtu keshamwambia ametembea na mdogo wake halafu bila aibu anamwambia we mkule tu, wanawake wengine sijui wakoje[emoji57][emoji57]
Mambo unayoyasikia kwa uwazi ya aina hiyo ni machache sana kuliko yaliyoko huko gizani. Jane ni mtu mzima anajua dunia ilivyo. Huko sirini mtu anamkunja dada mtu na mdogo mtu,mama mkwe,mpaka binamu kama wote wanavutia. Na muda mwingine wote wanajuana,wanavumiana tu kidizain. Dunia uionavyo kwa nje sivyo ilivyo kwa ndani. Kuna mambo ya kutisha huko ndani. Ukiyasikia unaweza uzimie. Na jua zipo siri zinakuzunguka hapo hapo ulipo na hutakuja uzisikie mpaka kifo chako
 
Subiri Marry akiliwa na wewe utamla huyo wako. Ikikataa kupita ndio ujue kimaadili imekaa vibaya
 
Unaongea mambo ya mwaka gani mzee?. Tafuta namna nyingine tu ya ushauri mzee,lakini sidhani kama kuna kijana atapita nao hapo
 
Kwani umelazimishwa kusom hii story?,pita hivi usitujazie serva tu hapa
 
Duuh...! Kuna wajinga mnawaza matope. Mtu atafute umaarufu wa nini?. Wenzio wanafuta hela,wewe unawaza umaarufu wa akina mshana? Umechelewa
 
Ndugu yangu unavimba kichwa sana na huyo irin, Dodoma kuna pisi zinatoka babati aloo, shombe shombe za Tabora kibao.kwakweli umesema uwongo. Hiyo ni uongoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…