Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Utumbo
 
Sikia wewe hujalazimishwaaaa kuisoma Sasa Kama alikuwa anaweka matukio kwa Diary ya kila siku??eti hayapo matukio ya hivyo.Hujui Kuna watu wamezaliwa na Ngekewa?ndo Hawa Sasa na mbona Kuna watu wanatoka kwa namna ya kujiana tu na Watu ndo inaitwa Connection eti ananiudhi si uache kuisoma
 
Unaongea mambo ya mwaka gani mzee?. Tafuta namna nyingine tu ya ushauri mzee,lakini sidhani kama kuna kijana atapita nao hapo
Sijasema Kijana apite nao wala nn, hayo ni MAONI YANGU na yatabaki hivyo...

Chamsingi, wewe pamoja na hao VIJANA wenzako endeleeni kuruka ruka na huyu na yule(kama muandishi) ila MUDA NI MWALIMU MZURI.

Kinachosumbua rika vijana wanadhani kuvua vua chup* ndio URIJALI but trust me ni USHAMBA kama USHAMBA mwingine and I can prove with facts.
 
Mpe mpe vidonge vyake huyu!!
 
Nani akutrust wewe? Hakuna aliesema kuruka ruka na wanawake ni ujanja. Hivi unafikiri watu humu hawajielewi kabisa? Kwamba wenyewe kazi yao kweli ni kuruka ruka na wanawake?. Umeingia mkenge Hata mwandishi hakuna anaporuka ruka na wanawake,sijaona. Yaani tu-wanawake tu3,4 huto tayari unaona anaruka ruka nao?. Wewe uko dunia ya wapi?. Isitoshe haya mambo yalikuwepo tangu enzi na enzi kuja kuyatengue wewe leo. Sawa MAONI YAKO tutayazingatia.
 
Nimejaribu ku-review umeijua lini JF nimegundua kumbe ni 2022. Fyi nimeingia humu ndani ya JF 2011 sijui ulikuwa wapi so ni uamuzi wako KU-TRUST au KUTO-TRUST, na by the way NINAJUA beyond no shadow of doubt kuwa humu ndani kuna wengi WANAOJIELEWA na wapuuzi wachache mfano mmoja wapo unaweza kuwemo.

So, endelea kuruka ruka maana naona hata comment yako inajikanganya kuhusu maana halisi ya kuruka ruka.

Ushauri, endelea kula ujana maisha yenyewe mafupi.
 
Ndugu yangu unavimba kichwa sana na huyo irin, Dodoma kuna pisi zinatoka babati aloo, shombe shombe za Tabora kibao.kwakweli umesema uwongo. Hiyo ni uongoo..
No king'amuzi,mlio wa kilugha kama upo kwa mganga,...
 
Ndugu yangu unavimba kichwa sana na huyo irin, Dodoma kuna pisi zinatoka babati aloo, shombe shombe za Tabora kibao.kwakweli umesema uwongo. Hiyo ni uongoo..
Tatizo sio pisi kali tatizo ni ujazo wa pisi ...pisi inamiliki nini...hizo zako zinazo miliki matako na smart phone na kupiga hadi mizinga ya pedi kaa nazo na ingekua ni pisi ya hivyo watu tusinge ielewa
 
Kama basi kigezo cha mtu kutokukosea ni muda wa kujiunga jf basi ndio ile theory ya mkubwa hakosei.

Sawa amejiunga 2022 so what?
Asikurekebishe hata kama umekosea au namna gani?

Acha hizo mkuu umepuyanga hapa mtu ameleta tu story ya maisha yake tujifunze hata unakosemea ni kuruka ruka ujue wazi pia ni somo kwetu.
 
...na ww una-miss a huge point, rudi kusoma comment yangu then ndio uje hapo.

Hakuna mahali nimesema kigezo cha kutokosea ni muda wa kujiunga JF, kama unaweza thibitisha itapendeza pia... nadhani ungeshirikisha ubongo vizuri ungeelewa nimemaanisha nini.

Ushauri wa bure,Tusipende ku-comment kwa mihemko, ni kweli Mdau ameleta story yake na sisi kama hadhira tunayo haki ya kuchangia chochote as long as hatuvunji sheria za JF.
 
Ambaye bado anaonyesha hisia waziwazi ni nani happy?
 
Insider huyu dada umemkazia PM? mbona ana gubu sana?

Anyway uzi ni wake na humchangii hata cent so acha kelele.
 
Miezi 3 uzi una views 3 million, sio jambo dogo. Kuna watu wana nyota by nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…