Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Who is your favorite character in the story? So far and why?
1.Mary ....kwasababu amepevuka kuliko mdogo wake anajua kucheza kwa step,anajiheshimu na sio mlazimisha mambo ..
2.Iryn .... kwasababu amekupatia heshima sehemu mbalimbali mnapokuwa wote,anaendeleza misingi ya mama yake (Kusaidia wahitaji, biashara n.k),amekuboost maishani umejua mengi na hajikwezi (yuko normal)
3.Mama Janeth.....Ni mama mlezi wa iryn muaminifu , charming na hajikwezi......but pia yuko systematic na open katika mambo yake...
4.Familia yako(Baba,Mama na Mama Jr).....Japo hawajazunguzwa Sana ila kwa nafasi yake Mungu amewatumia kama njia kufika hapa ulipo....
5.Insider Man.....ww ndoo kama funga kazi kwanza nikupe kongole kwa kuleta uzi wako hapa JF umewekeza rasilimali muda,akili na gharama zingine story kutufikia .....Pia story yako imekuwa chachu ya baadhi ya watu wanaokata tamaa waongeze juhudi katika yale wanayoyafanya kupitia njia ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa waaminifu (Uaminifu unalipa )
 
66 iko wap wadau.!!??
 

[emoji120]
 
Who is your favorite character in the story? So far and why?
My favorite character in the story ni Junior yaani yeye Jr. nimemfananisha na chaliii yangu sana japo daaah big story, i lost my son like Jr same days same age to Jr kila nikifika kwa story ya Jr lazima nilie...😭😭😭😫😫😫
 
Kwa upande mwingine niliamua kupotea maeneo yale πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa upande mwingine Iryn alikuwa anavutia kuliko wanawake wote na amebarikiwa vilivyo.......wakuu kama huna pesa itafute usilale.
 

Attachments

  • Screenshot_20230228-210626_Instagram.jpg
    94 KB · Views: 36
Wakuu wakuu wakuu shauri zenu kama hamtafuti pesa wakuu, tafuteni chambi chambi watoto wazuri msiwaite mashemeji.

Haka katoto bhna unaeza kunywa chai bila sukariβ˜•β˜•πŸ½πŸ½ yaani sio mweupe sana, siyo mweusi sana yaani chocolate fulani, macho yakuibia ibia, shape sasa kanabebeka flexible nyama nyingi tupa kule, afu sasa kanaonesha hakana shombo yaan kasafi....yaani kwa sie waungwana huwaga sana inaboa in izzo biznezz voice.🎡🎡🎡
 

Attachments

  • Screenshot_20230518-181934_Instagram.jpg
    131.4 KB · Views: 32

Siku zote nakuchoraga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…