Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel
Wa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Hawa binadamu wapo kwenye penzi zito, hii ni akili ya ya mwanaume kumuweka kitanzini huyo dada bila yeye kujua anaingingizwa kwenye 18.Baby unajua nachukia sana hawa kenge wanavyokuangalia hivi?” Hii kauili ya kiboya sana asee mzee umepandisha sana mabega
Akiweka episode mpya naomba unipigie simu 👍Wa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.
Wa 2 ni Mama J mmetoka mbali kaku push sana.
Wa 3 ni Irene
Wa 4 Mama yako
Poa Mkwe wa mwananguAkiweka episode mpya naomba unipigie simu 👍
huyu si khumbu kabisa akiwa na konda msafi 🤣🤣🤣Insider man akiwa na mtoto iryn south Africa View attachment 2787634
Shukrani mkuu episode imetuliaAntonnia ,JITU BANDIA ,Nuhu39 ,Missy Gf ,Nourhan ,Lovelovie,DR SANTOS ,Mama Edina
Episode nzito iliyoshiba ya 67 iko on air welcome and enjoy
1.MarryWho is your favorite character in the story? So far and why?
Irene,kwa sababu umemjenga mrembo sanaWho is your favorite character in the story? So far and why?
Hiyo addition ya mzee pama uileteHuo mzigo kama wako[emoji41]
Kwani wao wanasemaje?Mzee baba vipi tulale tulinde ndoa au tusubiri?
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Maisha hayako serious hivyo. Halafu hiyo inamfanya mwanamke awe na feeling ya kupendwa na anayempenda kwa kuwa yeye ni mzuri.Baby unajua nachukia sana hawa kenge wanavyokuangalia hivi?” Hii kauili ya kiboya sana asee mzee umepandisha sana mabega