Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Naomba muendelezo wa mashtaka na kisasi cha[emoji33] aliyemwagiwa mafuta
 
PARFECT
 


Nna uhakika hata Iryn kwenye orodha yake hajawahi kupata bedui wa kupelekesha moto wa kitalibani namna hii.
 
Insider upewe maua yako, hii story iendelee kutuambia mwisho 70 ni uongoo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Iryn kapindua meza kaona ajitoe kwenye race
Bahati mbaya kapindua kwa kuchelewa. Ule uchovu wa kulala lala kwenye kochi sio bure. KIMEKATIKIA
 
Kwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]
Kwa sababu Prisca alikuwa mcharuko: sometimes YES sometimes NO. Character ya mtu ndiyo inaweza kumpatia huruma au HUKUMU ya jamii. Hata hapa umeshatueleza jinsi jirani yake kule Changanyikeni alivyokueleza mambo anayoendeleza kwa sasa.

WANANCHI wanampenda Irene kwa kuwa uliwajengea hiyo taswira na hisia.
 
Ukinambia Chuo hakuna Limit hapo sawa nitakuelewa ila sifikirii Iryn akubali kubeba mimba wakati anajua hakuna future na anajitambua, sifikirii kwakweli
Basi ndio tayari kimekatikia. Fikiria ule uchovu wa kulala lala kwenye kochi,sio wa kawaida
 
Kwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]

Umesema umepoteza hisia kwa mama j kwasababu ya iryn ko sisi kama team mama J lazima tupaze sauti alafu anajifanya bestie wa mama j akati wanachangia rungu kwann?? Alafu kwa prisca haya yote hayakuwepo mkuu ya kupoteza hisia sijui
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza kila kitu mkuu[emoji1666]
 
Kumbuka nyumba nimehama tayari, hatujui Kwanini kachukua maamuzi haya
Nina uhakika hawezi kuvumilia hii kitu kustik na huo msimamo. Atatengua mwenyewe. Ila kwa sasa atavumilia. Akienda south tu atakutengenezea njia tu uende huko
 
Kwanza kabisaa nitoe pongezi kwa ku take your time na kuandika hii life experience story. Out from this nimejifunza vitu vingi, matukio ya humu yanaibua themes na messages nyingi kwa maisha tunayoishi; UPAMBANAJI, PROBLEM SOLVING, SOCIALIZATION,nk. Haya umeyafanya kwa ufanisi mkubwa bwana INSIDER MAN ,,,,,,tunangoja yaliyo mazuri zaidi.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Huo ni Ujinga na uuaji sawa na wauaji wengine.
 
Usikute huyo Irene nishawahi kukutana naye nikaona ni demu wa kawaida tu, maana kila mmoja ana macho yake, tunatazama tofauti.
Hamna mkuu,demu kisu anajitenga kwenye kuonekana wa kawaida kwa mwanaume rijali yoyote. Anaeweza kuonekana wa kawaida kwa wengine na kwa wengine mzuri ni hawa wa kawaida. Lakini wapo mademu visu,visu kweli kweli. Kila mwanaume mwenye utimamu lazima amuone mzuri.
 
Umesahau prisca alichakatwa parking mkuu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…