Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ok
 
Kiukweli nimetosheka na penzi lako na Iryn, ni muda sasa wa kuachana na michepuko uirudie familia yako, nilikua sijui kama namkubali sana Mama J hadi nilipofika hii episode ya 68.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli hata mm nilikua sijui kama namkubali mama j hivi
 
RYN: β€œI know, unafikiri Mzee atafikiri nini wewe usipolala hapa?”
dem sengerema sana hili we unaliwa kando unataka kuwa kina sijampenda shes cheap whore af still anataka kwenda kwako kusalimia bla bla nawewe insaida njaa zitakuua mtoto wa kiume mpk unasahau familia sasa ngoja mke akuache uone venye utaokota makopo sipendi mianaume ya bei rahisi isio na msimamo inanunulika na kupelekeshwa mazafanta na hii fiction siendelei tena kusoma
 
Kwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]
Mwamba huko kote watu walikua hata hawana muda sana, watu walikua wanasoma wakiwa na shauku ya kukutana na Iryn tu. Hauoni siku umeiweka mambo wazi wengine wakasema ndio mwisho wa kufuatilia huu uzi? Sio kwamba walikua wanakubaliana na jambo lako na Prisca ila Kuna kitu kikubwa zaidi walikua na shauku nacho.
 

Jifunze kwanza uandishi alafu urudi kutoa dukuduku,
 

Wengi walisema hivyo ila naona bado tuko wote hapa tunalia Arosto[emoji28]
 
Kuna mwanamke ukichepuka naye hata mke wako anakusifia[emoji3]
Ni sawa but usiuze utu wako kisa pesa/ madaraka!
Mtu mmetoka mbali mmehasoo mmepambana leo hii unamuigizia na mchepuko wako kweli???? Mmeshafanyana hukoo hamjaridhika hadi ujinga unapeleka kwa mkeo???? Hamjakatazwa muendelee mambo yenu huko ila sio nyumbani kwako kiukweli!

Hapo Insider alikosea sana pamoja na misimamo yake hapo alifeli sana!
 
Wengi walisema hivyo ila naona bado tuko wote hapa tunalia Arosto[emoji28]

Of course Bado wapo lakini walimaanisha kiu iliridhishwa, hii ni kama bhakhsish tu. Yaani Ile nyongeza lakini siku Ile ilipopugwa mechi ndio watu wengi walikua wanapasubiria
 
Binafsi ujasiri wa kumfanyia ukatili wa hivo mwanamke mwenzangu sinaaa! Its ok Umetoka na mume wake huko sawa ndio umnafkie kihivo kweli dahh! Hio sehemu sijui kwanini imeniuma mnooo!πŸ˜”
 
Mayiii unatokea Uru ipi?
 
Kuna mwanamke ukichepuka naye hata mke wako anakusifia[emoji3]
Mke aheshimiwe na watu wote mkuu! Usimfananishe mke na mchepuko urembo haufanyi mtu kuwa mke kama ni mrembo mbona hajaolewa anaswampa tu na kung'ang'ania mume wa mtu????

Fanyeni mambo yenu hukoo ila sio mbele za wake zenu jamani!
Iryn namkubali sana ila hapo ameniumiza sana!
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ!


Inauma mnoooo!!
 
Jifunze kwanza uandishi alafu urudi kutoa dukuduku,
em kanye west huko wewe unaejua kuandika mbona umemalizia na mkato badala ya nukta yani washamba mnakuaga wajuaji kafe huko mazafantus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…