Ikibididaga
Member
- Jun 14, 2022
- 70
- 50
Mzee pama HUYU HAPA ha ha haaπππView attachment 2790383
Heineken inauhusiano gani na kupandisha nyege maana kuna sehemi Insider amesema hii bia inanyege, ni kwann na kivipi kwa anaefahamu
Alikuwa kashanogewa na **** ya mrembo. Kwahiyo mambo mengine alikuwa anafanya kutokuwa na akili ya kiuwanaumeNi sawa but usiuze utu wako kisa pesa/ madaraka!
Mtu mmetoka mbali mmehasoo mmepambana leo hii unamuigizia na mchepuko wako kweli???? Mmeshafanyana hukoo hamjaridhika hadi ujinga unapeleka kwa mkeo???? Hamjakatazwa muendelee mambo yenu huko ila sio nyumbani kwako kiukweli!
Hapo Insider alikosea sana pamoja na misimamo yake hapo alifeli sana!
Yaani story tu ndio uumie kihivyo?Binafsi ujasiri wa kumfanyia ukatili wa hivo mwanamke mwenzangu sinaaa! Its ok Umetoka na mume wake huko sawa ndio umnafkie kihivo kweli dahh! Hio sehemu sijui kwanini imeniuma mnooo!π
ππ€£Hapo ni 500x3M = 1,500,000,000
Insider angekua bilionea sahivi[emoji23][emoji23].
Ni vile Jamaa anaonekana hana shida na maisha,
Ndio hivyo mkuu. Au nisije nikaharibu,wewe ni "ke"?Kheee tena [emoji3]
Mipicha ya Google usiwaze mkuu.Wote mliotupia picha za Iryn hamjafanya fair kabisa kwamfano anaziona hizi picha mnafikiri driver mnuweka kwenye wakati gani au mnataka afutwe umeneja wa saloon najua wote mliotupia picha zake mlikutana nae huko kwenye katika mambo ya massage
Labda niwaulize mnaorusha picha hapa. Kwani demu kisu anaonekana mpaka awe bila kabisa?. Sasa atapitaje mitaani ili atambulikane ni kisu?. Inabidi awe nacked piaNi yeyeee
Wote mliotupia picha za Iryn hamjafanya fair kabisa kwamfano anaziona hizi picha mnafikiri driver mnuweka kwenye wakati gani au mnataka afutwe umeneja wa saloon najua wote mliotupia picha zake mlikutana nae huko kwenye katika mambo ya massage
Mleta we noma umeniweka more than 2 hrs nasoma, mpaka macho na shingo yanauma, duh!!!!
INSIDER MAN naomba ata nione miguu na mikono tu ya iryn ata kiuno pia ukinionyesha mkuu na me ntajisikia moja kati ya watu hapa duniani...though mmeniumiza sana mmetumia ada yangu ya mwaka mzima kwa siku tatu kule zanzibar nimesikia kulia
Aaah mzee ke, Tena...... Am your fellow nigga....Ndio hivyo mkuu. Au nisije nikaharibu,wewe ni "ke"?
Aaah mzee ke, Tena...... Am your fellow nigga....
Mzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
Bado uko na mmbulu?[emoji28]Hili suala lilinitokea kazini ndomana sitaki kumshtumu jamaa. Alikuja field mtoto wa kimbulu ni mzuri sana na alikuwa under my supervision.
Nikamtongoza mtoto akajaa mazima. Baada ya kumla kwa mara ya kwanza nilipagawa kwakweli mpaka nikaanz kudanganya kwa wife nakwenda kikazi lengo niwe na shinda na mtoto hotelini.
Haya mambo yapo kwakweli kwasasa nipo makini sana. [emoji1544]