Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ni yeyeee
 
Attachments

  • FB_IMG_1698084790728.jpg
    FB_IMG_1698084790728.jpg
    35.8 KB · Views: 38
Ni sawa but usiuze utu wako kisa pesa/ madaraka!
Mtu mmetoka mbali mmehasoo mmepambana leo hii unamuigizia na mchepuko wako kweli???? Mmeshafanyana hukoo hamjaridhika hadi ujinga unapeleka kwa mkeo???? Hamjakatazwa muendelee mambo yenu huko ila sio nyumbani kwako kiukweli!

Hapo Insider alikosea sana pamoja na misimamo yake hapo alifeli sana!
Alikuwa kashanogewa na **** ya mrembo. Kwahiyo mambo mengine alikuwa anafanya kutokuwa na akili ya kiuwanaume
 
Wote mliotupia picha za Iryn hamjafanya fair kabisa kwamfano anaziona hizi picha mnafikiri driver mnuweka kwenye wakati gani au mnataka afutwe umeneja wa saloon najua wote mliotupia picha zake mlikutana nae huko kwenye katika mambo ya massage
 
INSIDER MAN naomba ata nione miguu na mikono tu ya iryn ata kiuno pia ukinionyesha mkuu na me ntajisikia moja kati ya watu hapa duniani...though mmeniumiza sana mmetumia ada yangu ya mwaka mzima kwa siku tatu kule zanzibar nimesikia kulia
 
Mtoa mada alishasema Irene sio mtu wa IG hizo picha zisikutishe
 
INSIDER MAN naomba ata nione miguu na mikono tu ya iryn ata kiuno pia ukinionyesha mkuu na me ntajisikia moja kati ya watu hapa duniani...though mmeniumiza sana mmetumia ada yangu ya mwaka mzima kwa siku tatu kule zanzibar nimesikia kulia

Ada ya mwaka? Pesa iliyotumika ni miaka yako mitatu unalipa kma ada pamoja na boom

Room si chini ya USD 2500 (3 nights)= 6M
Nauli weka 700k
Chakula, vinywaji 1M
Mengineyo 500k

Hii ni roughly budget = 8M
 
Hili suala lilinitokea kazini ndomana sitaki kumshtumu jamaa. Alikuja field mtoto wa kimbulu ni mzuri sana na alikuwa under my supervision.

Nikamtongoza mtoto akajaa mazima. Baada ya kumla kwa mara ya kwanza nilipagawa kwakweli mpaka nikaanz kudanganya kwa wife nakwenda kikazi lengo niwe na shinda na mtoto hotelini.

Haya mambo yapo kwakweli kwasasa nipo makini sana. [emoji1544]
Bado uko na mmbulu?[emoji28]
 
Back
Top Bottom