Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,477
Aiseee
Hapana huyu hapa mtoto iryn na Audi yake ile View attachment 2790368
Toyota ilichonganyika na Audi hyo au sioHapana huyu hapa mtoto iryn na Audi yake ile View attachment 2790368
Hapa umechanganya mkuu,kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati
Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
Ya sehemu gani? Ile ya karibu na Mataa? (Pale karibu na chakoni chako?) Au ile karibu na round about?Hapa ni platinum grill dodoma
Mara nyingi sna nakuwa hapa kumalizia week end na mzee mollel [emoji23]
Huyu hajawahi enda huko mbulu ndani ndani yaani mtt hair natural zinafika mpaka kaliooni bila ya kuziwekeA chochote yaani Ile naturally kabisa. Yaani ukimuona Hana tofauti na waethiopia ama waaarabuWaabesh ht Tz tuna copy zao ambao ni wambulu, nyaturu, warangi
🤣😅😙😅🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣 dahMzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
😂😂Fala sana we jamaa,Mzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
Kuna watu wajinga humu Lodilofa Ana nafuuHii nchi kuendelea bado sana, kwa aina hii ya "great thinkers" tuna safari ndefu sana.
Mtu kaanzisha Uzi wake, hajakuita, humlipi chochote, lakini unataka kumpangia Cha kuandika. Mazee kaanzisha Uzi wako huko wa hiyo "true story" isiyo na chai uandike kile unapenda!
Muda wote hii chai, hii chai. Nani kakulazimisha kusoma?
Hata ingekuwa uji, pita kushoto, acha wanaotaka kuifuatilia waendelee..
Siyo kumkatisha mwandishi tamaa. Acheni ushamba na roho za kimaskini kama story ni chai, achana nayo, zipo stori nyingi hapa JF nenda kasome, mwache mwandishi na uzi wake aandike vile yeye anapenda kulingana na malengo na audience yake.
Wewe tutolee stress zako chai bado unafatilia? Hata Kama ni Uji ni togwa ni yetuChai haijaiva bado!
🙏🙏Kuna Me/Ke ambaye hajawai kuchepuka humu ndani ajitokezee
Mimi pia nampenda Irene lakini sikubaliani na anachomfanyia mama JMke aheshimiwe na watu wote mkuu! Usimfananishe mke na mchepuko urembo haufanyi mtu kuwa mke kama ni mrembo mbona hajaolewa anaswampa tu na kung'ang'ania mume wa mtu????
Fanyeni mambo yenu hukoo ila sio mbele za wake zenu jamani!
Iryn namkubali sana ila hapo ameniumiza sana!
Leo hii hali alimvumilia kipindi yuko zero??? Justice for mama JJamaa katoka naye mbali halali amle tu, hata mimi naunga mkono Iryn aolewe, wachaga hawaaminiki kabisa[emoji23]
Iryn huyu....... Khaaa figaa matata japo mnene Ila lizuriii *******
Upo wapi? Chungulia PM kuna bingoHaha! watu wana mapito mbalimbali but ile hadhi ya mke/ mume inaheshimiwa sana!
Hapo binafs naona jamaa alimdharau sana mkewe over mchep!
[emoji120][emoji120]
Iryn huyu....... Khaaa figaa matata japo mnene Ila lizuriii *******
100% sure broAre you sure?
IREN hachezi mbali na humu INSIDER MAN toa comments yupi anaendana?
Mademu wa kiabeshi wanafanana lazima anaendana na mmoja wapo hapa,View attachment 2790440
View attachment 2790441
View attachment 2790442
View attachment 2790443
View attachment 2790444
View attachment 2790445
View attachment 2790446
View attachment 2790447
View attachment 2790448