Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Yap...!Aaah mzee ke, Tena...... Am your fellow nigga....
Haonii jina langu[emoji16].... aseehJamaa anazingua[emoji23]
Bado uko na mmbulu?[emoji28]
DaaaaaaaMzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
na hichi ndio kinachowasumbua watu,mfano mimi ukinipa nafasi ya kumsifia manzi yangu dakika 2 tu utatamani sana ukutane nae umuone wakati ni msichana wakawaida tu ila kumpamba najuaKuna watu wanaOverRate uzuri wa iryn vichwani mwao sababu imesemekana ni wa kishua😂😂😂😂
hahahahahaMzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
Acha makasirikoKuna watu humu visharuwala vinawawasha hatari, hii kutujazia mapicha humu ni nini? Jukwaa la picha za warembo hamlioni? Hii inaonesha kabisa tabia za kisenge mlizokuwa nazo shule
Mchizi bado anakomaa na alishakisahau, chezea kuchi weweAntonnia nikiwaza kile kibao alichopigwa bro INSIDER MAN na Iryn daah nyie wanawake mtatutuua nyie
Hapana huyu hapa mtoto iryn na Audi yake ile View attachment 2790368
Toyota ilichonganyika na Audi hyo au sioHapana huyu hapa mtoto iryn na Audi yake ile View attachment 2790368
Hapa umechanganya mkuu,kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati
Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
Ya sehemu gani? Ile ya karibu na Mataa? (Pale karibu na chakoni chako?) Au ile karibu na round about?Hapa ni platinum grill dodoma
Mara nyingi sna nakuwa hapa kumalizia week end na mzee mollel [emoji23]
Huyu hajawahi enda huko mbulu ndani ndani yaani mtt hair natural zinafika mpaka kaliooni bila ya kuziwekeA chochote yaani Ile naturally kabisa. Yaani ukimuona Hana tofauti na waethiopia ama waaarabuWaabesh ht Tz tuna copy zao ambao ni wambulu, nyaturu, warangi
🤣😅😙😅🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣 dahMzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
😂😂Fala sana we jamaa,Mzee pama HUYU HAPA View attachment 2790383
Kuna watu wajinga humu Lodilofa Ana nafuuHii nchi kuendelea bado sana, kwa aina hii ya "great thinkers" tuna safari ndefu sana.
Mtu kaanzisha Uzi wake, hajakuita, humlipi chochote, lakini unataka kumpangia Cha kuandika. Mazee kaanzisha Uzi wako huko wa hiyo "true story" isiyo na chai uandike kile unapenda!
Muda wote hii chai, hii chai. Nani kakulazimisha kusoma?
Hata ingekuwa uji, pita kushoto, acha wanaotaka kuifuatilia waendelee..
Siyo kumkatisha mwandishi tamaa. Acheni ushamba na roho za kimaskini kama story ni chai, achana nayo, zipo stori nyingi hapa JF nenda kasome, mwache mwandishi na uzi wake aandike vile yeye anapenda kulingana na malengo na audience yake.
Wewe tutolee stress zako chai bado unafatilia? Hata Kama ni Uji ni togwa ni yetuChai haijaiva bado!