Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna watu wanaOverRate uzuri wa iryn vichwani mwao sababu imesemekana ni wa kishua😂😂😂😂
na hichi ndio kinachowasumbua watu,mfano mimi ukinipa nafasi ya kumsifia manzi yangu dakika 2 tu utatamani sana ukutane nae umuone wakati ni msichana wakawaida tu ila kumpamba najua
 
Kuna watu humu visharuwala vinawawasha hatari, hii kutujazia mapicha humu ni nini? Jukwaa la picha za warembo hamlioni? Hii inaonesha kabisa tabia za kisenge mlizokuwa nazo shule
Acha makasiriko
 
kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati

Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
Hapa umechanganya mkuu,

Huwezi kufanya uzinzi kama huna ndoa
Mtu (mke au mume)anayefanya mapenzi na asiye mkewe/mumewe ikiwa ana NDOA HALALI huyo anazini.

Kama hujafunga ndoa unafanya uasherati
na sio uzinifu.
 
Waabesh ht Tz tuna copy zao ambao ni wambulu, nyaturu, warangi
Huyu hajawahi enda huko mbulu ndani ndani yaani mtt hair natural zinafika mpaka kaliooni bila ya kuziwekeA chochote yaani Ile naturally kabisa. Yaani ukimuona Hana tofauti na waethiopia ama waaarabu
 
MARY
IMG_3479.jpg


PRISCA
IMG_3478.jpg
 
Hii nchi kuendelea bado sana, kwa aina hii ya "great thinkers" tuna safari ndefu sana.
Mtu kaanzisha Uzi wake, hajakuita, humlipi chochote, lakini unataka kumpangia Cha kuandika. Mazee kaanzisha Uzi wako huko wa hiyo "true story" isiyo na chai uandike kile unapenda!
Muda wote hii chai, hii chai. Nani kakulazimisha kusoma?
Hata ingekuwa uji, pita kushoto, acha wanaotaka kuifuatilia waendelee..
Siyo kumkatisha mwandishi tamaa. Acheni ushamba na roho za kimaskini kama story ni chai, achana nayo, zipo stori nyingi hapa JF nenda kasome, mwache mwandishi na uzi wake aandike vile yeye anapenda kulingana na malengo na audience yake.
Kuna watu wajinga humu Lodilofa Ana nafuu
 
Back
Top Bottom