Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ladha tofauti mkuu, kwanza heineken unatumia mwenyewe ukimaliza chupa inatupwa jalalani, hizi local chupa zinaoshwa sometimes hawaoshi vizuri unaweza kuta hata nzi ndani ya bia, wewe fanya Research ya local beers.
Ngoja nikuweke sawa hapa. Hizi hizi local beer zipo ambazo chupa unatumia peke yako na haioshwi. Local beer kuna aina mbili 1. Returnable hizi zinakuwa kwenye kreti na zinapatikana sehemu nyingi tu za starehe na huwa zinarudi kiwandani kuoshwa. 2. Non returnable hizi zinauzwa kwenye maboksi haziwekwi kwenye kreti kama hizo nyingine, mara nyingi zinapatikana super market na sehemu za starehe za hadhi ya juu, hizi unanunua bia na unaondoka na chupa hakuna wa kukuuliza.
 
Karibu Kariakoo mtaa wa Swahili/Agrey utanikuta hapa nimejiajir Usifikiri kila anayeshinda humu ni Jobless kama wewe.
Taja unauza nin mnk mm Niko hapa china plaza nakuzanya Kodi za jiji Kisha nitokomee nayo [emoji3]
 
Mimi nikiwemo JF muda wote wewe unaumia nini? Unaninunulia bando?
Tafadhali punguza kimuhemue una haribu Uzi tunakuja ttunajuwa jamaa katupia kitu kumbe wee ndio umejaza mavi zako Huku

Think twice siyo kila muda unatupia
 
Tafadhali punguza kimuhemue una haribu Uzi tunakuja ttunajuwa jamaa katupia kitu kumbe wee ndio umejaza mavi zako Huku

Think twice siyo kila muda unatupia

Mapicha yako unayotuma kuna mtu anakuzuia humu ndani?

Katika member wanaoongoza kuchat kwenye huu uzi namba moja ni wewe, au wewe ni shem wetu kwa INSIDER MAN ?
 
Mapicha yako unayotuma kuna mtu anakuzuia humu ndani?

Katika member wanaoongoza kuchat kwenye huu uzi namba moja ni wewe, au wewe ni shem wetu kwa INSIDER MAN ?
Umaskin na ujinga uliopo kichwani mwako ndio unaamishia kwa watoto zako? Nchi haiwez kukosa wajinga kwa kwel
 
Umaskin na ujinga uliopo kichwani mwako ndio unaamishia kwa watoto zako? Nchi haiwez kukosa wajinga kwa kwel

Wewe bado upo kwenye huu uzi? Si ulisema hufatilii ni mjinga wewe uliyenifata PM na kuanza kunichimba biti afu PM umefunga
 
INSIDER MAN malizia huu Uzi tufunge mjadala

Wewe upumzike na sisi tumpizike.

Watu washaanza tukanana hapa hata sura hawajuani.

Wengine wanafuatana DM kutishiana [emoji2]

Yote hata kisa stori, Watz bhana.

Malizia hizo episode mbili Kila mtu aendelee na mitikasi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…