Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jane ni mjamzito ni halali akae na mwanae ukitegemea alikuwa kwenye kipindi kigumu cha msiba. Mama yake ni halali akae maana nyumba ni ya Jane kajengewa na baba mtoto wake, so ashindwe kukaa kwa mwanae na nyumba ya bint yake?
Elewa swali la jamaa kwanza ndo uje kwenye comment yangu
 
na hichi ndio kinachowasumbua watu,mfano mimi ukinipa nafasi ya kumsifia manzi yangu dakika 2 tu utatamani sana ukutane nae umuone wakati ni msichana wakawaida tu ila kumpamba najua
Its only natural kumsifia mpenzi ulie nae😁
 
Jane yuko treated kama mke wa Pama ndomana na urithi kapata.
- Yupo treated wapi kama Mke wake ? Mtunzi wa story ametumia neno MCHEPUKO na wa si MKE MDOGO. For your information Mzee PAMA alikuwa Mkristo ambapo ni Mke mmoja kwa Mume mmoja.
-Suala la urithi I doubt, likely ilikuwa ni kichombwezo cha kunogesha episodes.

Suala la msiba ni sawa kulia na kuombeleza, kuweka tent ni sawa kabisa ukitegemea Mzee alikuwa ni mtu muhimu kwa Jane.
-On earth hakuna na haiwezekani KUWEKA TENT au MSIBA kwa MCHEPUKO, Ukitaka kujua ilikuwa ni kunogesha nadhani ungejiuliza hilo tent liliwekwa kwa ajili ya nani? Makazi yalikuwa mapya kwa Jane na hata huyo Mzee Pama sidhani kama alishashuhudia hiyo nyumba.

Sisi hatujui Pama na Jane walikuwa na mipango gani mpaka wakakubaliana wazae, bila shaka alikuwa ni mke wake. Mwanaume hawezi jenga nyumba akamweka mwanamke ndani kama hana mipango naye.
-Michepuko ni michepuko tu na mwanaume anaweza kufanya chochote kwa ajili ya kufulfill matamanio yake ya kimwili, inawezekana alihonga nyumba kama wengine wanavyohonga vitu mbalimbali ili waweze kukidhi haja zao za mapenzi.
 

- Yupo treated wapi kama Mke wake ? Mtunzi wa story ametumia neno MCHEPUKO na wa si MKE MDOGO. For your information Mzee PAMA alikuwa Mkristo ambapo ni Mke mmoja kwa Mume mmoja.

[emoji1314]Mkuu kuna mahali Insider amesema Mzee Pama ni mkristo? Naomba nioneshe hio sehemu. Mzee alikuwa na wake watatu including Jane, kitendo cha kuzaa nao ni wake wadogo hao tayari.

-Suala la urithi I doubt, likely ilikuwa ni kichombwezo cha kunogesha episodes.

[emoji1314]Jane alikuwa halali kupata urithi kwaajili ya mtoto wa Pama. Insider aliandika aliyepata urithi ni mtoto na sio Jane, kusema Jane alipewa urithi I was wrong. Urithi alipewa kwaajili ya mtoto wake.

-On earth hakuna na haiwezekani KUWEKA TENT au MSIBA kwa MCHEPUKO, Ukitaka kujua ilikuwa ni kunogesha nadhani ungejiuliza hilo tent liliwekwa kwa ajili ya nani? Makazi yalikuwa mapya kwa Jane na hata huyo Mzee Pama sidhani kama alishashuhudia hiyo nyumba.

[emoji1314] Mimi ni shahidi hapa kama haiwezekani ni kwako, kuna dada ofisini kwetu alikuwa mchepuko kama Jane na alizaa watoto wa2 na Jamaa. Jamaa aliigua akafa dada alifanya msiba kwake na sisi tukaenda kushinda pale.

Nyie ndo ambao mnasoma story juujuu, Insider aliandika wengi waliokuja ni rafiki zake na baadhi ya ndugu zake. Tent litakuwa likiwekwa kwaajili ya kuzuia jua, watu wanafanya birthday wanaweka tent sembuse msiba?

Hivi unafikiri Jane alikuwa kwenye hali gani Mzee kufa akiwa na mimba yake tumboni??

-Michepuko ni michepuko tu na mwanaume anaweza kufanya chochote kwa ajili ya kufulfill matamanio yake ya kimwili, inawezekana alihonga nyumba kama wengine wanavyohonga vitu mbalimbali ili waweze kukidhi haja zao za mapenzi.[/QUOTE]

[emoji1314] Hakuna mtu anayezaa bila mipango, ukisoma story vzr Pama alikuwa na tatizo la kutopata mtoto wa kiume. Mimba ya Jane ilikuwa kwenye mipango yake ya kutafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu
 
Unajua kufikiria sana juu ya yanayoweza kuja mbele The Monk!!
 
Humu ndani unaweza ukakuta page zimeshushwa ukajua kijana insider ameshusha uzi kumbe watu wanabishana matent [emoji16][emoji16][emoji16]
Sema jamaa nae anazingua yani mpaka sasa hataki kumalizia episod na zimebaki mbili tu.. Hii ngoma ilikua iishe wiki mbili zilizopita uko kama angekua anafata makubaliano ya kila wikiend.. sijui anafeli wapi
 
Point ya dada atoe kitabu auze copy kuna watu wengi hawajosoma bado, ila kwa bongo ni hasara simshauri afanye hivyo
Bongo, ununuaji na usomaji wa vitabu bado tunajikongoja sana, labda atoe matoleo mawili, la kiswahili kwa ajili ya jamii ya waswahili na la kiingereza kwa wazungumzaji wa lugha hiyo na hilo toleo la lugha ya malkia ndiyo alipambanie liuze huko online.
 
Niliwahi kubishana na mshikaji wangu mmoja miaka 10 iliyopita juu ya uzuri wa waabeshi wa kike nikamwambia kuwa kwa africa yetu huenda ndo ikawa jamii namba moja kwa wanawake wazuri, lakini yeye alikuwa mbishi na alitiwa upofu na wale wanawake wa jamii ya kina Mr.Slim, ila kiukweli waabeshi ni taarifa ya habari na ni habari kamili.
 
Waabesh ht Tz tuna copy zao ambao ni wambulu, nyaturu, warangi
Nchi yetu huwa nasema, tumependelewa sana si rasilimali asili tu hadi wanawake wazuri wa jamii zote tatu za kiafrica tunao kwenye makabila yetu kuanzia Neolitic, Hermitic na Bantu zote ndani.
 
Inafurahisha kuona unanipangia cha kufanya, wakati na wewe upo unakomaa kwenye mitandao. Mind your business, hunichangii hata cent ya bundle.

JF idadi ya vichaa inaongezeka Daily.
Wee mwehu kweli kweli aliyekwambia kila mtu amekosa cha kufanya kama ww nan? Bundle za vpn za bure naww unajiita mwanaume ? Kafunge mabox huko
 
Wee mwehu kweli kweli aliyekwambia kila mtu amekosa cha kufanya kama ww nan? Bundle za vpn za bure naww unajiita mwanaume ? Kafunge mabox huko

Endelea kuteseka mwanaume unatabia sa kidelicious kufatafata wanaume PM unataka upakwe nazi?
Kwangu si unakujua? Badae pita na nazi,
 

Kuna vitu havihitaji prove combination ya muhabeshi + Mzungu ni hatari na sijui kwanini wazungu wanazaa sana na hawa watu. Ethiopia kwa Africa hana mpinzani kwakweli tuwape maua yao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…