Jane yuko treated kama mke wa Pama ndomana na urithi kapata.
- Yupo treated wapi kama Mke wake ? Mtunzi wa story ametumia neno MCHEPUKO na wa si MKE MDOGO. For your information Mzee PAMA alikuwa Mkristo ambapo ni Mke mmoja kwa Mume mmoja.
-Suala la urithi I doubt, likely ilikuwa ni kichombwezo cha kunogesha episodes.
Suala la msiba ni sawa kulia na kuombeleza, kuweka tent ni sawa kabisa ukitegemea Mzee alikuwa ni mtu muhimu kwa Jane.
-On earth hakuna na haiwezekani KUWEKA TENT au MSIBA kwa MCHEPUKO, Ukitaka kujua ilikuwa ni kunogesha nadhani ungejiuliza hilo tent liliwekwa kwa ajili ya nani? Makazi yalikuwa mapya kwa Jane na hata huyo Mzee Pama sidhani kama alishashuhudia hiyo nyumba.
Sisi hatujui Pama na Jane walikuwa na mipango gani mpaka wakakubaliana wazae, bila shaka alikuwa ni mke wake. Mwanaume hawezi jenga nyumba akamweka mwanamke ndani kama hana mipango naye.
-Michepuko ni michepuko tu na mwanaume anaweza kufanya chochote kwa ajili ya kufulfill matamanio yake ya kimwili, inawezekana alihonga nyumba kama wengine wanavyohonga vitu mbalimbali ili waweze kukidhi haja zao za mapenzi.
- Yupo treated wapi kama Mke wake ? Mtunzi wa story ametumia neno MCHEPUKO na wa si MKE MDOGO. For your information Mzee PAMA alikuwa Mkristo ambapo ni Mke mmoja kwa Mume mmoja.
[emoji1314]Mkuu kuna mahali Insider amesema Mzee Pama ni mkristo? Naomba nioneshe hio sehemu. Mzee alikuwa na wake watatu including Jane, kitendo cha kuzaa nao ni wake wadogo hao tayari.
-Suala la urithi I doubt, likely ilikuwa ni kichombwezo cha kunogesha episodes.
[emoji1314]Jane alikuwa halali kupata urithi kwaajili ya mtoto wa Pama. Insider aliandika aliyepata urithi ni mtoto na sio Jane, kusema Jane alipewa urithi I was wrong. Urithi alipewa kwaajili ya mtoto wake.
-On earth hakuna na haiwezekani KUWEKA TENT au MSIBA kwa MCHEPUKO, Ukitaka kujua ilikuwa ni kunogesha nadhani ungejiuliza hilo tent liliwekwa kwa ajili ya nani? Makazi yalikuwa mapya kwa Jane na hata huyo Mzee Pama sidhani kama alishashuhudia hiyo nyumba.
[emoji1314] Mimi ni shahidi hapa kama haiwezekani ni kwako, kuna dada ofisini kwetu alikuwa mchepuko kama Jane na alizaa watoto wa2 na Jamaa. Jamaa aliigua akafa dada alifanya msiba kwake na sisi tukaenda kushinda pale.
Nyie ndo ambao mnasoma story juujuu, Insider aliandika wengi waliokuja ni rafiki zake na baadhi ya ndugu zake. Tent litakuwa likiwekwa kwaajili ya kuzuia jua, watu wanafanya birthday wanaweka tent sembuse msiba?
Hivi unafikiri Jane alikuwa kwenye hali gani Mzee kufa akiwa na mimba yake tumboni??
-Michepuko ni michepuko tu na mwanaume anaweza kufanya chochote kwa ajili ya kufulfill matamanio yake ya kimwili, inawezekana alihonga nyumba kama wengine wanavyohonga vitu mbalimbali ili waweze kukidhi haja zao za mapenzi.[/QUOTE]
[emoji1314] Hakuna mtu anayezaa bila mipango, ukisoma story vzr Pama alikuwa na tatizo la kutopata mtoto wa kiume. Mimba ya Jane ilikuwa kwenye mipango yake ya kutafuta mtoto wa kiume kwa muda mrefu