Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huyo dogo hajamuoa mama J ila kazaa naye tu.

So mama J si mke wa huyo dogo, muwe mnasoma vizuri kabla ya kumpachika heshima ya 'mke' mama J.

Insider man hadi sasa hajaoa.
Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!
 
Kugawana mali haimanishi walikuwa wanandoa. Mali zinaweza gawanywa under two circumstances.
1. Baada ya oda ya separation or divorce.
2. Pale ambapo Kuna presumption of marriage and imekuwa rebutted. Parties watakuwa entitled to all reliefs available Kwa parties kwenye ndoa iliyotenganishwa au kuvunjwa, including mgawanyo wa mali na custody of children, Hali pekee watakosa ni haki ya talaka na kutenganishwa, Kwa sababu hizi ni Kwa watu ambao wamefunga ndoa Kwa mjibu wa shera.
 
Mlinde kwa cheti cha ndoa.
 
Ndoivo ni mkewe hizo drama za cheti cha ndoa mnajua wenyewe!
Watu wanamilikiwa kwa cheti/mkataba. Ukizaa watoto wakati unawaandikisha kwenye mamlaka husika utatakiwa ulete cheti cha kuzaliwa kinachokuunganisha na huyo mtoto! Mfanyakazi aliyeajiriwa akiachakazi kutoka kampuni A bila utaratibu na kwenda kampuni B, kampuni A kama bado inainterest inaweza kuishitaki kampuni B kwa kuiba mfanyakazi wake (vilevile kwa wachezaji wa mpira, n.k.). Unayedai mkeo akianzisha mahusiano mapya na kupelekea kuzama kabisa kwa jamaa mpya utabaki kulalamika tu na utaulizwa kwani ulifunga naye ndoa?? Utachekwa! na kuanza kuleta blahblah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…