Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Enjoy the story bestie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enjoy the story bestie!
Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!Huyo dogo hajamuoa mama J ila kazaa naye tu.
So mama J si mke wa huyo dogo, muwe mnasoma vizuri kabla ya kumpachika heshima ya 'mke' mama J.
Insider man hadi sasa hajaoa.
Kugawana mali haimanishi walikuwa wanandoa. Mali zinaweza gawanywa under two circumstances.Hivyo juu vikithibitika hio ilikuwa ndoa, nina ushahidi wa mtu aliyeishi namwanamke ndani kwa 4yrs na walikuwa na watoto 2. Baada ya kuachana sheria zilifuatwa na maamuzi yakasema ni wanandoa wakagawana mali.
The point hapo kuwe na evidence zinazonesha nyinyi mliishi kama wanandoa
Kibao hatari narobo tatu kilee masikioni kitu nziiiiiiii!!!!!!!🤠🤠🤠🤠!Antonnia nikiwaza kile kibao alichopigwa bro INSIDER MAN na Iryn daah nyie wanawake mtatutuua nyie
Ndiwo ni story ina niliumia kweli!Yaani story tu ndio uumie kihivyo?
Yeahhh kichwa cha chini kikichachamaa chajuu hakifanyagi kazi!Alikuwa kashanogewa na **** ya mrembo. Kwahiyo mambo mengine alikuwa anafanya kutokuwa na akili ya kiuwanaume
Mlinde kwa cheti cha ndoa.Pale ambapo mwanamke na mwanamme, wenye sifa za kufunga ndoa, wameishi pamoja kwa miaka isiyopungua miiwili kwa namna ambayo inawatambulisha kama mke na mme watachukuliwa kama wanandoa hadi pale itakapothibitika vinginevyo.
Je mwanamke na mwanaume walioishi pamoja kwa kipindi fulani bila kufunga ndoa wanaweza kuhesabika kuwa wanandoa?
[emoji3578][emoji736]Sheria inatambua dhana ya kuwepo kwa ndoa kati ya mwanamke na mwanaume walioishi pamoja bila kufunga ndoa iwapo mambo yafuatayo yatatimizwa:
• [emoji127] Iwapo watu hao wawili wameishi kwa zaidi ya miaka miwili mfululizo pamoja.
• [emoji127]Majirani wanaowazunguka wanawachukulia kuwa ni mke na mume.
• [emoji127]Hakuna ndoa inayoendelea kutokana na maisha yao ya awali.
• [emoji127]Wametimiza umri unaokubalika kisheria wa kuoa au kuolewa (umri wa18 au zaidi).
[emoji3578][emoji736]Iwapo mambo hayo manne yametimizwa, mahakama inaweza kuthibitisha kuwepo
kwa ndoa kati ya watu hao wawili.
#KUMBUKA
• [emoji3516][emoji736]Ni mahakama pekee yenye uwezo kisheria kuthibitisha kuwepo au kutokuwepo kwa dhana ya ndoa. kwa maana hiyo mahakama inaweza kataa kama vigezo tajwa hapo juu havijakamilika, na hii ilianzishwa kwa lengo la kumlinda mwanamke na watoto ili asionewe na akaachwa patupu. lakini kumbuka pia mahakama ikitangaza dhania ya ndoa haiwezi toa talaka lakini itatoa hukumu juu ya malezi ya watoto na mgawanyo wa mali ambazo mahawala hao walichuma pamoja kipindi wanaishi pamoja. lakini ni muhimu mlalamikaji akaleta ushahidi kudhibitisha dhana hiyo ya ndoa
• [emoji3516][emoji736]Ni vigumu kuthibitisha kuwepo kwa dhana ya ndoa iwapo mmoja wa wanandoa amefariki dunia. Wanandoa wanaoishi bila ndoa wanashauriwa kuhalalisha ndoa yao ili kuwa katika mazingira mazuri ya kudai haki hasa pale mmoja wa wanandoa anapofariki. utaratibu wa kuhalalisha ndoa nimewahi kuelezea kipindi cha nyuma, Haya na kulingana na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 kifungu Cha 160.
Kwa upande wangu Insider hapo siwezi kuchomoa sababu
1. Nimelipa mahari mpaka pete nilimvalisha
2. Tunaishi pamoja mwaka wa tatu huu.
3. Tuna mtoto mmoja wa miaka 2
4. Wazazi wana mtambua mama J mpaka kwenye kutoa mahari walikuwepo.
5. Wazazi wake wananitambua mimi kama mkwe
6. Marafiki, ndugu zangu wa karibu wanamtambua kama mke.
7. Tunashare maendeleo kama biashara tunatumia jina la kampuni as Directors, bado magari nimeandika jina lake.
Hapa nakataaje sio mke wangu???
Mlinde kwa cheti cha ndoa.
Mke halali wapi? Cheti cha Ndoa ndo kinahalalisha! Lete cheti!Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!
Ndoivo ni mkewe hizo drama za cheti cha ndoa mnajua wenyewe!Mke halali wapi? Cheti cha Ndoa ndo kinahalalisha! Lete cheti!
Watu wanamilikiwa kwa cheti/mkataba. Ukizaa watoto wakati unawaandikisha kwenye mamlaka husika utatakiwa ulete cheti cha kuzaliwa kinachokuunganisha na huyo mtoto! Mfanyakazi aliyeajiriwa akiachakazi kutoka kampuni A bila utaratibu na kwenda kampuni B, kampuni A kama bado inainterest inaweza kuishitaki kampuni B kwa kuiba mfanyakazi wake (vilevile kwa wachezaji wa mpira, n.k.). Unayedai mkeo akianzisha mahusiano mapya na kupelekea kuzama kabisa kwa jamaa mpya utabaki kulalamika tu na utaulizwa kwani ulifunga naye ndoa?? Utachekwa! na kuanza kuleta blahblah!Ndoivo ni mkewe hizo drama za cheti cha ndoa mnajua wenyewe!
Hi INSIDER MAN umefunga PM yako, nahitaji kuwasiliana na wewe nakupataje?Hii ndo point
Huu uzi umeanza kuwa uzi wa kutafsiri ndoto!INSIDER MAN naomba uniunganishe na bimkubwa wako, maana ndoto niotazo zinanichanganya sana.
Team mama J tukutane pantaleo BBQ Kuna kikao 🤣🤣🤣🤣Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!
Hahahaha bahasha limejaa masimangoTwende 70 sasa tujue bahasha la A4 limebeba madude gani ndani