Mchaga muibie mke au mume atakusamehe lkn sio pesaNmependa jinsi mama j anavyokusikiliza na kukutiii
Ni mwanamke asiye na makelele na anapenda maelewano na anajali zaidi amani yenu wote wawili kuliko red flags anazoziona kwako.
Sasa usichukulie poa utulivu wake kwa kumpiga matukio.
Heeeeee 😂😂😂😂😂😂😂 makubwaHajaachana na mimi, ila mimi ndio nilimuacha huyo dereva wa uber
Mkuu INSIDER MAN next episode Ni leo au tusubiri?Next Epsode nitaweka mawasiliano
[emoji16][emoji16][emoji16]people watu wa humu usiombe wapate vi details vyako utajutaNilishasema hapa bwana INSIDER MAN
Mwaga hizo episode zote halafu potea isahau hii sredi .
Watu walianza tukanana humu hata sura hawajuani.
This time wanaanza chimba familia Yako wakihoji uhalali wa mkeo this is not right!!!.
Malizia hizo episodes upumzike na Hawa wajuaji wapumzike.
Hapa ni mpaka next weekTulikubaliana weekend, ila Sawa kama bado unakusanya comments
Huu uzi sijui shida nini. Page baadhi zinagoma kufunguka.Story inazid kunoga
Insider nachoombaa nipate mtandao wa1.11.23
22:00
Vigezo unavyo? Isije ikawa sura kama Bambo na mikono imekomaa kama mbeba zege halafu ukataka connection ya kazi ya kufanyia watu massage.Insider nachoombaa nipate mtandao wa
Massage na mimi nijiunge mkuu
Tatizo ni kwamba hata yeye mwenyewe (fanani) uzi umemnogea! Fanani haamini kilichotokea,response ya hadhira imekuwa kubwa tofauti na mategemeo yake! Nampa big up sana kwa hilo,story tamuNilishasema hapa bwana INSIDER MAN
Mwaga hizo episode zote halafu potea isahau hii sredi .
Watu walianza tukanana humu hata sura hawajuani.
This time wanaanza chimba familia Yako wakihoji uhalali wa mkeo this is not right!!!.
Malizia hizo episodes upumzike na Hawa wajuaji wapumzike.
Unapajua Nyaki bi 2??Nipo huku Nyakibimbirii mkuu ! Nilikua offline!!
Asalaammm Aleykum!
hisiaInsider funga ndoa mkuu tutakuchangia hapa jamii forum kwa story nzuri uliyotupa mwaka huu me ntasimamia ilo zoezi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app